Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ziara za Papa

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Askofu Mkuu Eamon Martin Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Ireland ameelezea ratiba ya Ziara ya Papa Francisko 25-26 Agosti 2018

Mkutano wa Familia Duniani ni fursa ya kuadhimisha na kusaidia familia!

12/06/2018 16:18

Mkutano Mkuu wa Familia Duniani utakuwa ni fursa ya kuadhimisha, kuthibitisha, kutambua na kusaidia familia. Ni kwa mujibu wa Askofu Mkuu Eamon Martin, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Ireland  kwa vyombo vya habari huko Maynooth tarehe 11 Juni 2018, akielezea ratiba Ziara ya Papa

Papa amemweleza mtoto Emanueli aendelee kumwombea baba yake  maana alikuwa na moyo mzuri japokuwa sasa yuko mbinguni

Papa amemweleza mtoto Emanueli aendelee kumwombea baba yake maana alikuwa na moyo mzuri japokuwa sasa yuko mbinguni

Papa amekutana na watoto na wazee wa Parokia ya Mt.Paulo wa Msalaba!

16/04/2018 16:33

Wakati wa mkutano na wazee wa parokia ya Mt. Paulo wa msalaba,Papa Francisko amesema, amekutana na vijana waliokuwa wamejaa wasiwasi na kuuliza maswali,lakinii wazee hao wametulia,hivyo waendelee mbele kwa taratibu kwasababu maisha yamewafundisha  mengi na wanao uzoefu mkubwa!

Papa Francisko anasema makundi ya sala,wagonjwa wa hospitali,sanduku la maungamo ni mifano mitatu inayo onekana wazi kwa Padre Pio

Papa Francisko anasema makundi ya sala,wagonjwa wa hospitali,sanduku la maungamo ni mifano mitatu inayo onekana wazi kwa Padre Pio

Sala,udogo,hekima ni kitovu cha mahubiri ya Papa huko San Giovanni Rotondo!

17/03/2018 15:04

Papa Francisko wakati wa mahubiri yake huko San Giovanni Rotondo amejikita katika maneno matatu:sala,udogo na hekima.Amehimiza juu ya umuhimu wa kushukuru kama Yesu,kujinyenyekeza kuwa ndogo kwa ajili ya wengine na kuiga hekima ya Padre Pio aliyoichota katika sanduku la maungamo  

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile

Ni watu 19,000 wa kujitolea katika maandalizi ya Ziara ya Papa nchini Cile!

29/12/2017 15:07

Kuwa mtu wa kujitolea kipapa ni kama kutumwa katika kujenga Kanisa ambalo ni nzuri zaidi na ulimwengu ulio bora.Haya ni maelezo ya Francisca Jose’ Miranda mmoja kati ya maelfu ya watu wa kijitolea waliojikwamua kusaidia katika maandalizi ya ujio wa Baba Mtakatifu Francisko nchini Cile 2018

Papa ametuma ujumbe mfupi kwa njia ya video kwa waamini nchini Peru

Papa ametuma ujumbe mfupi kwa njia ya video kwa waamini nchini Peru

Papa ametuma ujumbe wa Video kwa waamini wa Peru:Ninashahuku ya kuwaona!

22/12/2017 09:28

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake mfupi kwa njia ya Video kwa waamini wa Kaskazini mwa nchi ya Peru,mwezi mmoja kabla ya Ziara yake ya Kitume katika Bara la Amerika ya Kusini.Baba Mtakatifu anawasalimia sana waamini wote,hasa atakaokutana naoTrujillo tarehe 20 Januari 2018

Baba Mtakatifu amekutana na kuzungumza na Rais wa Myanmar tarehe 28 Novemba 2017, baadaye na   mtuzwa Nobel ya amani Aung San Suu Kyi

Baba Mtakatifu amekutana na kuzungumza na Rais wa Myanmar tarehe 28 Novemba 2017, baadaye na mtuzwa Nobel ya amani Aung San Suu Kyi

Papa amekutana na Rais wa Myanmar na Aung San Suu Kyi

28/11/2017 12:45

Tarehe 28 Novemba 2017,Baba Mtakatifu akiwa katika mji mkuu wa Nay Pyi Taw amepokelewa na Rais wa nchi,Bwana Htin Kyaw katika ukumbi wa Rais.
Kabla ya kuongozana kuingia katika nyumba ya Rais,kwanza wamesimama jukwaani na kusikiliza nyimbo mbili za kitaifa kwa bendi ya kijeshi 

Tarehe 27 Novemba Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa !

Tarehe 27 Novemba Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa !

Papa amewasili nchini Myanmar na kupokelewa kwa shangwe kubwa!

27/11/2017 09:49

Baba Mtakatifu ametua uwanja wa Kimataifa wa ndege Yangon nchini Myanmar kabla ya saa mbili asubuhi masaa ya Ulaya tarehe 27 Novemba 2017,wakati nchini myanmar  ilikuwa ni saa 7.22 mchana.Hivyo hiyo ndiyo ziara yake ya 21 ya Kitume ambayo pia ataendelea nayo katika nchi ya Bangladesh.

Ujumbe kwa njia ya video kutokana  na ziara ya kitume ya Papa  tarehe 30 Novemba hadi 2 nchini Bangladesh

Ujumbe kwa njia ya video kutokana na ziara ya kitume ya Papa tarehe 30 Novemba hadi 2 nchini Bangladesh

Ujumbe wa Papa kwa njia ya Video kwa waamini na raia wa Bagladesh!

21/11/2017 15:37

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa njia ya Video kwa waamini na raia wa nchi ya Bangladesh mahali ambapo anatarajia kufanya ziara ya kitume tarehe 30 Novemba hadi 2 Decemba 2017.Katika ujumbe ni salam za upendo na unawashukuru kwa jitihada za maandalizi hayo