Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Yohane Paulo II

Ipatikane suluhu ya kudumu kuhusu wahamiaji

Ipatikane suluhu ya kudumu kukabiliana na changamoto ya wahamiaji na maendeleo endelevu ya binadamu

Unafikiwaje Mkataba wa kijamii kimataifa kwa ajili ya wahamiaji!

28/06/2017 14:28

Padre Michael Czerny, Katibu mkuu msaidizi wa idara ya wakimbizi na wahamiaji katika Baraza la kipapa la huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu, kwenye Jukwaa la kimataifa Jijini Berlin, apendekeza mihimili ya kuzingatiwa ili kupatikana suluhu ya kudumu kukabiliana na changamoto ya wahamiaji.

Jumuiya ya kimataifa kuweka kipaumbele kwenye afya ya akili

Jumuiya ya kimataifa yaweka kipaumbele cha utafiti na huduma kwa wenye changamoto ya afya ya akili

Jumuiya ya kimataifa kutoa kipaumbele kwa afya ya akili

15/06/2017 08:00

Askofu mkuu Ivan Jurkovic, Mwakilishi wa Kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko Geneva, Uswiss, akichangia hoja ya kipaumbele kwa wenye changamoto ya afya ya akili, asisitiza pia kuzingatia nafasi ya maisha ya kiroho katika kuboresha hali zao kiafya.

Huruma ya Mungu imefunuliwa kwa njia ya: Fumbo la Umwilisho, Mahubiri, Miujiza, Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu!

Huruma ya Mungu imefunuliwa kwa binadamu kwa njia ya: maisha, mafundisho, miujiza, mateso, kifo na ufufuko wa Kristo kutoka kwa wafu!

Ninyi ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya huruma ya Mungu!

21/04/2017 07:00

Iweni na huruma kama Baba yenu wa mbinguni ndiyo kauli mbiu iliyoongoza maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu! Ibada ya huruma ya Mungu ilianzishwa na Mtakatifu Faustina Kowalska na kutangazwa rasmi na Papa Yohane Paulo II; Papa Francisko ameivalia njuga zaidi!

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya miaka 100 tangu B. Maria alipowatokea Watoto wa Fatima kunako mwaka 1917

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima kunako mwaka 1917

Jimbo kuu la Dar lazindua Jubilei ya Miaka 100 ya B. Maria wa Fatima

08/03/2017 14:01

Kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto watatu wa Fatima yaani: Francisko, Yacinta na Lucia ni hapo tarehe 12- 13 Mei 2017 kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko nchini Ureno! Ni muda wa toba, wongofu wa ndani na ushuhuda wenye mvuto!

 

Wafundeni majandokasisi matumizi bora ya njia za mawasiliano, ili wachakarike katika Uinjilishaji

Wafundeni majandokasisi matumizi bora ya vyombo vya mawasiliano ili wachakarike katika mchakato wa Uinjilishaji mpya.

Majandokasisi Seminarini wafundishwe matumizi ya njia za mawasiliano ya kijamii

31/07/2015 08:16

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Kusini mwa Afrika, IMBISA linawahamasisha viongozi na walezi wa Seminari na nyumba za malezi ya kikasisi na kitawa kuhakikisha kwamba, wanawasaidia majandokasisi kupata elimu juu ya njia za mawasiliano ya jamii, tayari kushiriki katika Uinjilishaji.

 

Lebanon ni mfano wa kuigwa katika kukuza haki, amani na maridhiano

Kardinali Dominique Mamberti anasema kwamba, Lebanon ni mfano wa kuigwa katika kukuza na kudumisha haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Lebanon ni mfano katika kukuza na kudumisha: haki, amani na maridhiano!

17/06/2015 08:55

Mtakatifu Yohane Paulo II alipenda kusema kwamba, nchi ya Lebanon ni ujumbe makini kwa watu wa nyakati hizi katika mchakato wa kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu anakiri Kardinali Dominique Mamberti, Mwenyekiti wa Mahakama kuu ya Kanisa. 

 

Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II

Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II anatarajiwa kukutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko na baadaye kusali kwa pamoja mjini Vatican.

Patriaki Moran Mor Ignatius Ephrem II kukutana na kusali na Papa Francisko

16/06/2015 16:09

Kanisa la Kiorthodox la Siro la Antiokia na Mashariki yote lina makao yake makuu mjini Antiokia, mji ambao una utajiri mkubwa wa historia na maisha ya Mitume Petro na Paulo miamba wa imani. Hapa ni mahali ambapo wamissionari wa kwanza walithubutu kutoka kwenda kuhubiri Injili ya Kristo. 

 

Papa Francisko na Rais Andrej Kiska wa Slovakia

Baba Mtakatifu Francisko, Alhamisi 9 Aprili 2015 amekutana na kuzungumza na Rais Andrej Kiska wa Slovakia.

Utu na heshima ya binadamu vipewe kipaumbele cha kwanza!

10/04/2015 09:15

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mazungumzo yake na Rais Andrej Kiska wa Slovakia amekazia umuhimu wa kusimama kidete kulinda na kutetea utu na heshima ya binadamu.