Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Yesu Kristo Hakimu Mwenye Huruma

Papa Francisko anapenda kukazia ushuhuda wa Injili ya familia katika maisha na utume wa Kanisa! Viongozi wawe karibu na waamini wao!

Papa Francisko anapenda kukazia umuhimu wa ushuhuda wa Injili ya familia katika maisha na utume wa Kanisa na kuwataka viongozi wa Kanisa kuwa karibu zaidi na waamini wao ili kuwasaidia katika safari ya maisha ya ndoa na familia.

Dhamana na wajibu wa Maaskofu Jimbo katika kesi za ndoa

08/07/2018 11:15

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro amekuwa na jicho la pekee sana katika utume wa ndoa na familia kwa kutambua changamoto, matatizo na fursa zilizopo katika kutangaza na kushuhudia Injili ya familia anakazia pia dhamana na nafasi ya Maaskofu Jimbo.

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!

Fumbo la Msalaba ni ufunuo wa huruma, upendo,  msamaha na haki ya Mungu kwa binadamu!

Fumbo la Msalaba ni ufunuo wa huruma, upendo, hekima na haki ya Mungu kwa binadamu!

Ijumaa Kuu: Mashitaka ya Yuda Iskarioti, Petro na Hukumu ya Yesu!

30/03/2018 15:55

Padre Alcuin Nyirenda OSB, katika tafaakari ya mateso na kifo cha Kristo Yesu, anatuwekea mbele ya macho ya mahakama yetu ya kibinadamu "watuhumiwa" wawili: Yuda Iskarioti, mtunza "mshiko" na Petro Mtume, aliyekabidhiwa dhamana ya kuliongoza Kanisa na Hukumu ya Kristo Yesu!

Padre Pio ni mfano bora wa mchungaji mwema, Baba mwenye huruma, hakimu mwenye haki na Baba wa maskini!

Padre Pio ni mfano bora wa mchungaji mwema, Baba mwenyehuruma, hakimu mwenye haki na Baba wa maskini.

Padre Pio, mfano bora wa mchungaji mwema!

29/07/2017 14:34

Mtakatifu Padre Pio wa Pietrelcina alikuwa ni mfano bora wa mchungaji mwema, Baba mwenyehuruma, hakimu mwenye haki na Baba wa maskini, aliyetumia maisha na utume wake kama Padre na Mtawa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na upendo kwa jirani alioumwilisha kwa njia ya mafumbo ya Kanisa.

Sheria za Kanisa kuhusu ndoa zinasaidia kurahisisha maisha ya waamini kadiri ya mafundisho ya Kanisa

Sheria za Kanisa kuhusu ndoa zinasaidia kurahisisha maisha ya waamini na sio nyenzo ya kubatilisha ndoa

Taratibu mpya za kesi za ndoa, nyenzo kuboresha maisha ya waamini

15/06/2017 14:34

Kitabu chachapishwa na majarimu wawili wa Chuo kikuu cha kipapa cha Lateran, kuelezea namna ya kufungua kesi za ndoa, uendeshwaji wake, na mambo muhimu ya kuzingatia kadiri ya taratibu mpya za sheria kanuni za kanisa zilizomo kwenye Mitis Iudex Dominus Iesus.