Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wosia wa Baba Mtakatifu Francisko nchini Colombia

Papa Francisko amewahimiza wananchi wa Colombia kuendelea kujikita katika mchakato wa haki, amani na maridhiano kati yao!

Papa Francisko amewahimiza wananchi wa Colombia kujikita katika mchakato wa haki, amani na maridhiano kati yao.

Papa Francisko anaihamasisha Colombia kujikita katika amani!

18/09/2017 09:55

Hija ya Kitume ya Papa Francisko nchini Colombia ililenga kukuza na kudumisha mchakato wa haki, amani na maridhiano kati ya wananchi wa Colombia; kwa kusimama kidete kulinda na kudumisha Injili ya familia na uhai dhidi ya utamaduni wa kifo; kwa kukumbatia na kuenzi dhamana na utume wa Kanisa!

Papa Francisko wakati akirejea kutoka Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko wakati akirejea mjini Vatican kutoka kwenye hija yake ya kitume nchini Colombia amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wake.

Papa Francisko achonga na waandishi wa habari wakati akirejea Vatican

12/09/2017 09:49

Baba Mtakatifu Francisko wakati akirejea mjini Vatican amepata bahari ya kuzungumza na waandishi wa habari kwa kukazia umuhimu wa kuwapokea na kuwatunza wakibizi na wahamiaji; athari za mabadiliko ya tabianchi za wajibu wa kimaadili; misingi ya haki, amani na upatanisho na utume kwa vijana!

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: jitahidini kupiga hatua ya kwanza katika amani na upatanisho!

Wosia wa Papa Francisko nchini Colombia: kila mtu apige hatua ya kwanza katika amani na upatanisho wa kitaifa.

Wosia wa Papa Francisko kwa familia ya Mungu nchini Colombia

11/09/2017 13:46

Baba Mtakatifu Francisko kabla ya kuanza safari ya kurejea tena mjini Vatican baada ya kukamilisha hija yake ya kitime nchini Colombia, amewaachia wananchi wa Colombia ujumbe mzito sana, akimtaka kila mwanchi kuanza kupiga hatua ya kwanza katika mchakato wa amani na upatanisho wa kitaifa.