Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wongofu wa ndani

Sherehe ya Pentekoste imekuwa ni fursa kwa Kanisa kusali kwa ajili ya mahitaji ya familia ya Mungu sehemu mbali mbali za dunia.

Sherehe ya Pentekoste imemkuwa ni fursa ya kusali kwa ajili ya kuombea mahitaji ya familia ya Mungu, sehemu mbali mbali za dunia!

Sala ya Kanisa kwa ajili ya mahitaji ya familia ya Mungu!

04/06/2017 14:36

Katika maadhimisho ya Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya Sherehe ya Pentekoste kwa Mwaka 2017, Waamini wamesali kwa ajili ya kuliombea Kanisa, viongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ili waweze kutafuta na kudumisha misingi ya haki na amani ya kweli, wamewakumbuka waamini wanaoteseka pia!

Kwa moyo unaowaka mapendo, Kanisa litaendelea kupenda, kutangaza, kushuhudia na kuhudumia!

Kwa moyo unaowaka mapendo, Kanisa litaendelea kupenda, kutangaza, kushuhudia na kuhudumia.

Utume ni kiini cha imani inayobubujika kutoka kwa Kristo na Kanisa!

03/06/2017 17:12

Kardinali Fernando Filoni anasema, Kanisa linahitaji kupyaishwa daima kutoka katika undani wa maisha na utume wake kwa njia ya toba na wongofu wa ndani, unaofanywa na watoto wa Kanisa. Kwa moyo unaowaka mapendo, Kanisa litaendelea: kupenda, kutangaza, kushuhudia na kuhudumia watu wote!

Madhabahu ya Bikira Maria ni mahali maalum pa uinjilishaji mpya, toba na wongofu wa ndani!

Madhabahu ya Bikira Maria ni mahali pa uinjilishaji makini; shule ya: Imani, Sakramenti, Amri za Mungu na Maisha ya Sala.

Madhabahu ni mahali pa uinjilishaji wa kina, toba na wongofu wa ndani

17/05/2017 13:49

Baba Mtakatifu Francisko anasema, madhabahu au vituo vya hija ni mahali muafaka pa uinjilishaji wa kina unaogusa undani wa maisha ya mtu; toba na wongofu wa ndani. Hapa ni mahali pa katekesi makini kuhusu: Imani, Sakramenti za Kanisa, Amri za Mungu na Maisha ya sala na tafakari makini!

Waamini wanahamasishwa kujifunza ukarimu na ujasiri wa Bikira Maria, ili kujisadaka kwa ajili ya huduma kwa watu wa Mungu!

Waamini wanahamasishwa kujifunza ukarimu na ujasiri wa Bikira Maria ili kuwahudumia watu wa Mungu.

Jifunzeni ukarimu, ushupavu na sadaka ili kuwahudumia watu wa Mungu!

13/05/2017 16:09

Kardinali Pietro Parolin anawataka waamini kujifunza ukarimu na ujasiri wa Bikira Mari ilikujisadaka, ili Mwenyezi Mungu aendelee kuishi kati pamoja na watu wake; kwa waamini kutoa mikono yao ili kuwafariji wanyonge na maskini; kuwatembelea na kuwahudumia wagonjwa; kuwainua na kuwategemeza watu!

Mwenyeheri John Sullivan ni kielelezo cha wongofu wa Kikristo na Maisha ya kitawa!

Mwenyeheri John Sullivan ni kielelezo na shuhuda wa wongofu wa maisha ya Kikristo na Kitawa!

Mwenyeheri John Sullivan: Shuhuda wa wongofu wa kikristo na Kitawa

12/05/2017 12:33

Mwenyeheri John Sullivan, SJ. aliishi kati ya Mwaka 1861 hadi mwaka 1933; akaongoka kutoka katika Kanisa Anglikani na kuingiza Kanisa Katoliki; kwa neema na baraka ya Mungu akapata utimilifu wa wongofu wake kwa kujisadaka katika maisha ya kitawa ndani ya Shirika la Wayesuit!

Jubilei ya Miaka 100 ya Fatima: tangazeni Injili ya matumaini na amani duniani!

Jubilei ya Miaka 100 ya Fatima: tangazeni Injili ya matumaini na amani duniani.

Fatima: Shindeni dhambi na ubaya wa moyo kwa toba na wongofu wa ndani

12/05/2017 12:10

Mama Kanisa anapoadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima anawahimiza watoto wake kushinda dhambi na ubaya wa moyo kwa kusimama kidete kutangaza: Injili ya amani, matumaini sanjari na kujizatiti katika kupigania na kudumisha haki msingi za binadamu.

Papa Francisko anakwenda nchini Ureno kama hujaji wa matumaini na amani!

Papa Francisko anakwenda nchini Ureno kama hujaji wa matumaini na amani.

Kiini cha Siri ya Fatima: huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu!

12/05/2017 11:53

Baba Mtakatifu Francisko anashikiri katika kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima. Anakwenda nchini Ureno kama hujaji wa matumaini na amani pamoja na kuwatangaza wenyeheri Francis na Yacinta Marto kuwa ni watakatifu mfano bora wa kuigwa!

Someni ujumbe wa B.Maria kwa Watoto wa Fatima kwa mwanga wa historia ya wokovu ili kuzama zaidi katika uinjilishaji mpya unaojikita katika toba!

Someni ujumbe wa Bikira Maria kwa Watoto wa Fatima katika mwanga wa historia ya wokovu kwa kujikita zaidi katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika toba, wongofu wa ndani na ushuhuda wa imani katika matendo!

Jubilei ya Miaka 100 ya B. Maria wa Fatima: mkazo: Uinjilishaji mpya!

09/05/2017 15:16

Waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema wanaalikwa kusoma ujumbe wa Bikira Maria kwa Watoto Fatima katika mwanga wa historia ya ukombozi wa mwanadamu, ili kuzama zaidi katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika toba, wongofu wa ndani na ushuhuda wa imani!