Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wito wa wanawake

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilisha katika maisha na wito wao!

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilishana katika maisha na wito wao kwa kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Mwanaume na mwanamke wanakamilishana kama sura na mfano wa Mungu

12/03/2018 12:15

Kardinali Marc Ouellet anasema, mwanaume na mwanamke kadiri ya mpango wa Mungu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ili kukamilishana. Kwa pamoja wanawajibika kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa duniani!

Baba Mtakatifu Francisko akiwa na viongozi wamawake wakatoliki

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na ujumbe wa viongozi wanawake wakatoliki wanapoadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu chama hiki kilipoanzishwa.

Imarisheni misingi ya elimu na maadili; ndoa na utunzaji wa mazingira!

26/06/2015 16:00

Chama cha Kimataifa cha viongozi wanawake Wakatoliki wanapoadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu chama hiki kilipoanzishwa ni changamoto ya kusimama kidete kulinda na kutetea misingi bora ya elimu na maadili; ndoa pamoja na utunzaji bora wa mazingira.