Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wito wa maisha

Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniani kwa Mwaka 2019 ni tarehe 8 Septemba 2019.

Papa Francisko: Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji kwa mwaka 2019 ni tarehe 8 Septemba 2019.

Papa Francisko sasa Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Kuadhimishwa Sept.

14/01/2018 13:46

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kutokana na sababu za kichungaji kuanzia mwaka 2019, Maadhimisho ya Siku ya Wakimbizi na Wahamiaji Duniania yatafanyika Jumapili ya Pili ya Mwezi Septemba kila mwaka. Kumbe, maadhimisho haya kwa mwaka 2019 yatakuwa ni tarehe 8 Septemba 2019.

Wakristo wanaitwa na wanatumwa, kumtangaza na kumshuhudia Kristo Yesu aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu kiini cha imani na wito wao!

Wakristo wanaitwa, wanatumwa kumtangaza na kumshuhudia Kristo Yesu aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu kiini cha imani na wito wao katika maisha ya Kikristo!

Wakristo: Mnaitwa na kutumwa kumtangaza na kumshuhudia Mwana Kondoo

13/01/2018 10:24

Liturujia la Neno la Mungu, Jumapili ya II ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa inajielekeza zaidi katika mchakato wa wito na ushuhuda! Wakristo kwanza kabisa wanaitwa kuchuchumilia utakatifu unaoshuhudiwa katika mchakato mzima wa maisha ya mwamini: kiroho na kimwili! Ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha!

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha yenye mvuto na mashiko!

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili II: Mnaitwa na kutumwa kushuhudia

12/01/2018 08:50

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili II ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kusikiliza vyema sauti ya Mungu katika maisha yao na hivyo kuwa tayari kuijibu kwa ari na moyo wa ukarimu, tayari kushuhudia matendo makuu ya Mungu katika maisha, kielelezo cha imani tendaji!

Papa Francisko anasema, wito wa kweli unapatikana kwa mwamini kukutana na Kristo Yesu katika hija ya maisha yake!

Papa Francisko anasema, wito wa kweli unapata chimbuko lake kwa mwamini kukutana na Kristo Yesu katika hija ya maisha yake kama ilivyokuwa kwa mitume wake wa mwanzo mwanzo!

Wito wa kweli unapata chimbuko lake kwa kukutana na Kristo Yesu!

30/08/2017 15:11

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wito wa kweli unapata chimbuko lake kwa kukutana na Kristo Yesu katika maisha na hivyo kuanza ujenzi wa urafiki na upendo wa dhati kiasi hata cha kujisikia "nyumbani" kama ilivyokuwa kwa Mitume wa Yesu wa kwanza walionesha udadisi na hatimaye kumfuasa Kristo!

Watu wenye mielekeo ya ndoa za jinsia moja, waheshimiwe, lakini hawawezi kufunga ndoa Kanisani!

Watu wenye mielekeo ya ndoa za jinsia moja, waheshimiwe lakini hawawezi kufunga ndoa Kanisani kwani kitendo hiki kinapinga na mpango wa Mungu kwa maisha ya binadamu!

Waonesheni upendo na ukarimu, lakini ndoa za mashoga ni marufuku Kanisani!

27/10/2016 16:16

Viongozi wa Makanisa ya Anglikani Kusini mwa Dunia wanasema, wanawajibika kuwapenda, kuwaheshimu na kuwakirimia watu wenye tabia za kupenda ndoa za watu wa jinsia moja, lakini Kanisa haliwezi kuwafungisha ndoa Kanisa kwani ni kinyume cha mpango wa Mungu katika maisha ya binadamu!

Mnaitwa na kutumwa kuwa ni wajumbe na mashuhuda wa huruma ya Mungu!

Mnaitwa na kutumwa kuwa ni wajumbe na mashuhuda wa huruma ya Mungu kwa waja wake!

Unaitwa kutangaza na kushuhudia huruma ya Mungu!

22/06/2016 11:23

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya kumi na tatu ya Kipindi cha Mwaka C wa Kanisa ni mwaliko wa kuitikia wito kutoka kwa Mwenyezi Mungu, tayari kuchukua maamuzi mazito ya kumfuasa, ili kutangaza na kushuhudia huruma yake kwa watu wa mataifa!

Yesu aliamua kufanya maamuzi magumu ili kuyamimina maisha yake yawe ni fidia ya wengi!

Yesu aliamua kufanya maamuzi magumu kwa kuyamimina maisha yake ili yawe ni fidia kwa wengi!

Maamuzi magumu yatolewa!

21/06/2016 14:17

Kristo Yesu ili kukamilisha kazi ya ukombozi wa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti aliamua kufanya maamuzi mazito ya kusimama kidete kutetea: haki na amani; huruma na upendo wa Mungu kwa kuyasadaka maisha yake ili yaweze kuwa ni fidia ya wengi!

Mwenyezi Mungu anaendelea kuwaita watu mbali mbali katika kazi ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu

Mwenyezi Mungu anaendelea kuita watu kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia.

Usiogope, wewe ni mtumishi asiye na faida!

04/02/2016 15:19

Mchakato wa Uinjilishaji ni endelevu hata leo hii Kristo Yesu anaendelea kuita watenda kazi katika shamba lake, ili waweze kujisadaka katika maisha na utume wa Kanisa, lakini ikumbukwe kwamba, kila Mkristo anaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!