Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wazee

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Papa: Maisha ya Utakatifu na kila mateso yanapitia katika Msalaba

13/09/2017 16:20

Tarehe 14 Septemba Kanisa Katoliki linaadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba.Baba Mtakatifu Francisko anasema kumbukeni daima kwamba,ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo,ubaya wa shetani umeshindwa pia mauti.Kwa njia hiyo tumepata maisha na kurudishiwa matumaini ya kweli katika Kristo.

 

Tarehe 4 Septemba 2017, Papa amezungumza na wanachama wa  Shalom 4000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI  na kuwataka watoe ushuhuda na huruma

Tarehe 4 Septemba 2017, Papa amezungumza na wanachama wa Shalom 4000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI na kuwataka watoe ushuhuda na huruma

Papa amezungumza na Chama cha Shalom na kuwataka watoe ushuhuda wa kweli

05/09/2017 15:36

Tarehe 4 Septemba 2017,Papa amezungumza na wanachama wa Shalom 4,000 katika ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI na kuwataka watoe ushuhuda na huruma.Amekumbuka janga la madawa ya kulevya na kusema kuwa ni moja ya zana ambayo imetanda mizizi ya hatari katika dunia tunamoishi

 

Mivutano ya ghasia za kijamii nchini Nigeria inazidi kupamba moto hivyo Maaskofu wanatoa wito yatosha kupiga ngoma ya vita

Mivutano ya ghasia za kijamii nchini Nigeria inazidi kupamba moto hivyo Maaskofu wanatoa wito yatosha kupiga ngoma ya vita

Maaskofu wa Nigeria wanatoa wito kusitisha vita na ghasia!

24/08/2017 16:32

Waraka wa Maaskofu wa Nigeria unatoa onyo kuwa;kwa wale wanao hisi kubaguliwa na kutengwa,au kuonewa hata hivyo ni lazima wasichukue fursa ya haki na uhuru wao wa kujieleza kwa njia ya kutumia uchochezi wa kutishia umoja wa maisha ya nchi. Kwa njia hiyo wito inatosha kupiga ngoma ya vita.

 

Wakati wa kiangazi Jumuiya ya Mt. Egidio inajishughulisha kuwasaidia wazee pweke na watu wasio kuwa na mahali pa kulala

Wakati wa kiangazi Jumuiya ya Mt. Egidio inajishughulisha kuwasaidia wazee pweke na watu wasio kuwa na mahali pa kulala

Jumuiya ya Mt.Egidio yawasaidia wazee na wahitaji wakati wa kiangazi

17/08/2017 15:19

Jumuiya zote za Mtakatifu Egidio nchini Italia nazo zinajikita katika njia ya mshikamano kwa wale wote wenye kuhitaji Na hiyo ni pamoja na vituo vingine katika ulimwengu mahali ambapo Jumuiya hizo ipo kama sehemu ya karama yao.Wanaandaa pia chakula kwa watu wanao lala vituo vya Treni

 

Wakati wa Sala ya Malaikwa wa Bwana, Baba Mtakatifu Francisko amekumbusha mapumziko ya kipindi cha kiangazi na ziaidi kuwakumbuka wale wenye matatizo

Wakati wa Sala ya Malaikwa wa Bwana, Baba Mtakatifu Francisko amekumbusha mapumziko ya kipindi cha kiangazi na ziaidi kuwakumbuka wale wenye matatizo kama wazee, wagonjwa na wasio kuwa na uwezo kiuchumi

Malaika wa Bwana:Likizo ni fursa ya kutafakari Neno la Mungu

07/08/2017 15:42

Katika kung’ara kwa Bwana ilisikika sauti ya Baba Mwenyezi ikisema:huyo ndiye mwanangu mpendwa msikilizeni yeye.Tutazama Maria Mama msikivu ambaye daima yuko tayari kusikiliza na kutunza moyoni mwake kila Neno la Mtoto wake mpendwa; aweze kutusaidia kulishika neno la Mungu

Afrika tayari inakabiliwa na hali fulani ya kupungikiwa na watoto hali ambayo kwa namna moja wazee ni wachache, pia watoto wachache lakini uwezo upo

Afrika tayari inakabiliwa na hali fulani ya kupungikiwa na watoto hali ambayo kwa namna moja wazee ni wachache, pia watoto wachache lakini pia kuna uwepo wa nguvu ya uwezekano wa uzalishaji.

Afrika inakabiliwa na upungufu wa watoto lakini uwezo bado upo

31/07/2017 15:38

Profesa wa Chuo Kikuu Katoliki cha  Milan Italia anasema;Afrika tayari inakabiliwa na hali fulani ya kupungikiwa na watoto, kwa namna moja wazee ni wachache, lakini kuna uwepo wa nguvu ya uwezekano wa uzalishaji. Kwa njia hiyo Afrika yawezekana kuwa taifa kubwa kama Marekani kwa Karni ya 21.

 

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wazee ni hazina ya jamii katika kurithisha imani,  maadili na utu wema.

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wazee ni watu muhimu sana katika kurithisha imani, maadili na utu wema.

Wahenga ni hazina ya jamii katika kurithisha tunu msingi za kijamii

26/07/2017 15:36

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya watakatifu Yoakim na Anna wazazi wake Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwaheshimu, kuwaenzi na kuwathamini wahenga kama hazina ya jamiii husika!

Wazee wanapaswa kuheshimiwa, kuthaminiwa na kushirikishwa katika mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu.

Wazee wanapaswa kuheshimiwa, kuthaminiwa na kushirikishwa katika mchakato mzima wa amendeleo endelevu ya binadamu.

Wazee washirikishwe katika mchakato wa maendeleo endelevu!

08/07/2017 09:07

Kumekuwepo na maboresho makubwa katika huduma ya tiba kwa binadamu, kiasi cha kuwafanya watu waweze kuishi kwa muda mrefu ikilinganishwa na hali ilivyokuwa huko nyuma! Lakini jambo la kusikitisha ni kuona kwamba, wazee wananyanyaswa, kubaguliwa na kutengwa katika mchakato wa maendeleo.