Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Watoto

Tarehe 8 Mei ya kila mwaka ni maadhimhso ya Siku ya Chama cha Msalaba Mwekundu duniani

Tarehe 8 Mei ya kila mwaka ni maadhimhso ya Siku ya Chama cha Msalaba Mwekundu duniani

Tarehe 8 Mei ni Siku ya Chama cha Msalaba Mwekundu Duniani

09/05/2018 15:19

Ni zaidi ya miaka 150,inaadhimishwa Siku ya Chama cha Msalaba Mwekundu Duniani, kila ifikapo tarehe 8 Mei, sanjari na kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wake Henry Dunant. Ni siku ya aina yake kwa ajili ya kuwakumbuka watu milioni 17 wa kujitolea duniani kote katika upendo mkuu 

 

Masikitiko ya papa kufuatia kifo cha watu wengi nchini Urusi kutokana na moto kuunguza kitu cha Kibiashara

Masikitiko ya papa kufuatia kifo cha watu wengi nchini Urusi kutokana na moto kuunguza kitu cha Kibiashara

Masikitiko ya Papa kufuatia kifo cha watu kwa janga la moto nchini Urusi!

27/03/2018 09:02

Tarehe 26 Machi 2018 Baba Mtakatifu ametuma Barua yake  kuonesha masikitiko yake,kufuatia tukio  la moto uliotokea nchini Urusi na kuteketeza kituo cha kibiashara ambapo cha Winter Cherry.Watu wengi wakiwemo watoto wamekufa na wengine kujeruhiwa.Papa anawaombea wote kwa Mungu

 

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.

Vita, ghasia, athari za mabadiliko ya tabianchi ni mambo yanayochangia baa la njaa na utapiamlo duniani!

Vita, ghasia na athari za mabadiliko ya tabianchi ni kati ya mambo yanayochangia baa la njaa na utapiamlo wa kutisha.

Kuna watu milioni 815 wanateseka kwa baa la njaa na utapiamlo mkali

16/09/2017 14:16

Umoja wa Mataifa katika taarifa yake ya hali ya usalama wa chakula na lishe duniani kwa mwaka 2017 iliyotolewa na mashirika yake ya kilimo na chakula inaonesha kwamba, kuna watu zaidi milioni 815 wanaoteseka kutokana na baa la njaa na utapiamlo wa kutisha duniani, hali ambayo imeongezeka maradufu.