Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Watawa Hispania

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Mwaka wa Watawa Duniani: Majadiliano ya kidini

Mwaka wa Watawa Duniani: mchakato wa majadiliano ya kidini.

Mwaka wa Watawa Duniani: Watawa na majadiliano ya kidini na kitamaduni

17/04/2015 11:42

Shirikisho la Mashirika ya kitawa na kazi za kitume nchini Hispania, kuanzia tarehe 17 hadi tarehe 19 Aprili 2015 linaendesha kongamano la kitaifa kuhusu watawa na majadiliano ya kidini kama sehemu ya maadhimisho ya Mwaka wa Watawa Duniani.