Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Watawa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko akisalimiana na vijana walioudhuria Siku ya sala na uhamasishaji kimataifa kuhusu biashara haramu ya watumwa

Papa Francisko:inahitaji ujasiri kufichua wanafiki wa biashara ya watumwa!

13/02/2018 15:44

Papa Francisko amebadilishana mawazo na baadhi ya washiriki wa Mkutano ya Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Amejibu maswali mengi kuhusu: unyanyasaji kijinsia, uonevu, shule za picha za ngono katika mitandao,kifolaini na sintofahamu!

 

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Miito mingi ya kikuhani na utawa inazidi kuongezeka nchini Bangladesh

Bangladesh miito inaongezeka na jimbo la Sylhet seminari mpya kuzinduliwa!

29/01/2018 14:22

Miito ya kitawa inazidi kuongezeka katika maeneo ya makabila huko Bangladesh.Kwa siku zilizo pita imezinduliwa seminari ya Jimbo la Sylhet,Kaskazini ya nchi.Ni Seminari ya Mtakatifu Yohane iliyofadhiliwa na Jimbo Katoliki la Suwon nchini Korea ya Kusini,ambayo itawakaribisha waseminari 60.

 

Papa Francisko anawataka watawa kudumisha maisha ya sala binafsi za kijumuiya kwa ajili ya mahitaji ya watu wa Mungu!

Papa Francisko anawataka watawa kukazia zaidi maisha ya sala binafsi na za kijumuiya na pale inapowezekana kumwilisha sala hizi katika huduma ya upendo kwa ajili ya mahitaji ya watu wa Mungu!

Papa Francisko: Sala ya kimissionari inawaunganisha watu wa Mungu

22/01/2018 14:41

Baba Mtakatifu Francisko anasema, watawa katika maisha na utume wao wanapaswa kuzingatia umuhimu wa sala binafasi na sala za kijumuiya, tayari kujisadaka kutangaza na kushuhudia upendo wa Mungu katika maisha ya watu, nguvu ya mashuhuda wa imani na mhimili wa miito yote ndani ya Kanisa.

Ujumbe wa Papa kwa Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani 2018, itakayoadhimishwa tarehe 22 Aprili Kauli mbiu:kusikiliza, kung’amua na kuishi wito

Ujumbe wa Papa kwa Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani 2018, itakayoadhimishwa tarehe 22 Aprili Kauli mbiu:kusikiliza, kung’amua na kuishi wito wa Bwana

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani 2018

04/12/2017 15:53

Bwana anaendelee leo hii kuita na kufuatwa.Tusisubiri kuwa wakamilifu ili kuweza kujibu kwa ukarimu, mimi hapa hata kuogopa vizingiti vyetu na dhambi zetu.Ni ujumbe wa Papa kwa Siku ya 55 ya Kuombea Miito Duniani 2018.Itaadhimishwa  22 Aprili, mada ni kusikiliza,kung’amua na kuishi 

 

 

 

 

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake, mwabuduni katika Umungu wake na shibabeni na kulandana na Kristo kwa njia ya Neno!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake; mwabuduni katika Umungu wake na shikamaneni na kulandana naye kwani ni chemchemi ya maisha ya kiroho.

Papa Francisko: Mapadre na watawa muwe mashuhuda wa furaha ya Injili

10/09/2017 15:03

Papa Francisko anawataka Mapadre na watawa kushikamana na Kristo Yesu katika ubinadamu wake kwa njia ya huduma makini; washikamane na Kristo Yesu katika kuabudu Umungu wake na daima wabaki wakiwa wameshibana na kulandana na Kristo Yesu, chemchemi ya furaha ya Injili kwa watu wake!

Tarehe 9 Baba Mtakatifu Francisko atakuwa Medellini ambao ni mji wa pili kwa idadi kubwa ya watu baada ya Bogotha

Tarehe 9 Baba Mtakatifu Francisko atakuwa Medellini ambao ni mji wa pili kwa idadi kubwa ya watu baada ya Bogotha. Ataadhimisha misa katika uwanja wa ndege wa mji

Safari ya mapatano kwa watu wa Colombia ni lazima kuifanya kila siku

02/09/2017 14:01

Kutia sahini katika hati haitoshi kwa ajili ya mchakato wa mapatano na amani bali ni kufanya zaidi ya safari ndefu  kuanzia sahini ya kusisitiza mkataba.Ni maneno ya Kard.Parolin Katibu wa Vatican akihojiwa na Vyombo vya habari kuhusu ziara ya Baba Mtakatifu Francisko 6-11Sept nchini Colombia

 

 

Misa ya ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Mwaka wa Shirikisho la Mashirika ya watawa wa Kike wa Afrika ya M na Kati Kurasini Dar es Salaam Tanzania

Misa ya ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Mwaka wa Shirikisho la Mashirika ya watawa wa Kike wa Afrika ya M na Kati Kurasini Dar es Salaam Tanzania

Kard.Braz De Aviz awaonya watawa kuwa makini na miungu ya kisasa

28/08/2017 14:41

Cardinali Bráz de Aviz wameonya watawa washiriki 150 kutoka Shirikisho la Mashirika ya Kitawa wa Afrika Mashariki(ACWECA) kuwa makini na miungu isiyoelezeka ya kisasa ambayo ni fedha.Fedha zina amuru kila kitu leo hii,zinaamrisha nguvu,hufanya maskini,hutengeneza kifo na kujenga hofu.