Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wasikh

Kardinali mteule Joseph Coutts  nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote

Kardinali mteule Joseph Coutts nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote hasa ulazima wa kuhisi upamoja katika nchi ambayo idadi kubwa ni waislam

Kard.Mteule Coutts:Mazungumzo ya maisha na huduma ya binadamu mteswa!

07/06/2018 14:30

Mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika wote,hasa ulazima wa kufanya sehemu ya ushirikishwaji katika maisha na kama ilivyo sehemu kubwa ya watu wa nchi ya Pakistana ni waislam. Ndiyo matashi mema ya Kardinali mteule Joseph Coutts kwa nchi ya utajiri wa dini nyingi

 

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini za Kidharma na wakristo!

16/05/2018 15:53

Tarehe 16 Mei 2018, Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wawakilishi wa mkutano kutoka katika madhehebu ya wakristo,Wahindu,wabudha,jainists na Sikh.Ameonesha furaha yake ya kukutana nao wakiwa katika fursa ya mkutano  wa mada  Dharma na Neno.mazungumzo na ushirikiano katika enzi ngumu.