Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wasalesiani wa Don Bosco

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji kwa wanawake wa Parokia ya Don Bosco, DRC.

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi wa kilimo na ufugaji bora kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC.

Wanawake nchini DRC wanajifunga kibwebwe kupambana na hali yao!

15/05/2018 08:56

Shirika la Wasalesiani wa Dono Bosco limebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji wa kisasa kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC. Lengo ni kuwajengea wanawake uwezo wa kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za maisha kwa wakati huu!

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo  na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Wasalesian amefanya ziara yake huko Damasko kuwatia moyo na matumaini watu hawa kutokana mateso ya kivita

Mkuu wa Shirika la Don Bosco, Padre Fernandes kutembelea Damasko!

11/04/2018 12:23

Mkuu wa shirika la Don Bosco,Padre Angel Fernandes Artime amefanya ziara yake mji wa kale Damasko ili kuwatia moyo,furaha na matumaini watu walio jeruhiwa zaidi ya miaka 7 ya vita. Akisindikizwa na Vijana wa Shirika lake,wamepitia barabara aliyopitia Mt. Paulo hadi kuingia Kanisa la Mt.Anania

 

 

Mwenye heri Zeffrino Namuncura,   aliyekumbatia imani katika Yesu na familia ya Shirika la Wasalesian, alikufa  mwaka 1905 mjini Roma na umri wa 19 tu

Mwenye heri Zeffrino Namuncura, aliyekumbatia imani katika Yesu na familia ya Shirika la Wasalesian, alikufa mwaka 1905 mjini Roma akiwa na miaka 19

Barua ya Papa Francisko katika mwaka 10 wa Mwenye Heri Zeffrino nchini Argentina

31/08/2017 17:50

Baba Mtakatifu Francisko ameandika barua kwa Askofu wa Jimbo la Viedna Argentina Esteban Maria Laxaque kwa ajili ya tukio la kuadhimisha miaka 10 tangu kutangazwa kwa Mwenye heri Zeffrino Namuncura, mzalendo wa Mapuche nchini humo  aliyekumbatia imani katika Yesu na familia Mt.Bosco