Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Waraka wa Kitume Utunzaji wa Mazingira

Papa Francisko: Laudato si: Miaka 3: Ushauri wa wanasayansi; wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia.

Papa Francisko: Laudato si: Miaka 3: Mkazo: Ushauri wa wanasayansi, wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia!

Papa Francisko: Laudato si: Ushauri wa wanasayansi; Ekolojia na Vijana

06/07/2018 15:19

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa maadhimisho ya miaka mitatau tangu kuchapishwa kwa Waraka wa kichungaji, "Laudato si" yaani "Sifa iwe kwako" juu ya utunzaji wa nyumba ya wote amekazia: ushauri wa wanayasansi, wongofu wa kiekolojia na ushirikishwaji wa vijana na watu mahalia!

Waraka wa kitume wa Papa Francisko "Laudato si" ni mwongozo na dira katika mchakato wa utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote.

Waraka wa Kitume wa Papa Francisko "Ladato si" ni dira na mwongozo wa utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote.

Kumbu kumbu ya miaka mitatu ya "Laudato si" dira na mwongozo wa maisha

05/07/2018 14:11

Waraka wa Baba Mtakatifu Francisko "Laudato si" umejikita katika ekolojia fungamanishi ninayowataka watu kuishi kwa furaha na katika ukweli, kwa kutambua kwamba, kuna uhusianoi wa karibu sana kati ya mazingira, haki kwa maskini, amani na utulivu wa ndani; kilio cha mama dunia ni kilio cha maskini.

Benki ya Vatican, IOR inaendelea kuimarisha huduma yake katika mchakato wa uinjilishaji sehemu mbali mbali za dunia.

Benki ya Vatican, IOR inaendelea kujizatiti katika mchakato wa huduma ya uinjilishaji.

Benki ya Vatican yaendelea kujiimarisha zaidi katika huduma makini!

25/05/2018 06:59

Benki ya Vatican maarufu kama IOR kwenye taarifa yake ya fedha kwa mwaka 2017 inaonesha kwamba, inaendelea kuimarisha huduma yake kama chombo muhimu sana cha utekelezaji sera na mikakati ya shughuli za uinjilishaji, utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi yakipewa kipaumbele cha kwanza!

Utawasilishwa Wosia Mpya wa Kitume Gaudete et Exsultate Jumatatu 9 Aprili, kwa mujibu wa  msemaji mkuu wa Ofisi ya Habari Vatican

Utawasilishwa Wosia Mpya wa Kitume Gaudete et Exsultate Jumatatu 9 Aprili, kwa mujibu wa msemaji mkuu wa Ofisi ya Habari Vatican

Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia kuzinduliwa, 9 Aprili 2018

05/04/2018 17:00

Ofisi ya habari ya Vatican imetoa taarifa kwamba,Jumatatu 9 Aprili 2018 saa sita na robo, masaa ya Ulaya katika Ofisi ya Habari Vatican utafanyika mkutano wa kuwasilisha Wosia mpya wa Kitume wa Papa “Furahini na Shangilieni, (Gaudete et Exsultate), unaohusu Wito wa Utakatifu katika  dunia ya leo.

 

Mashuhuda wa utunzaji bora wa mazingira duniani wanaendelea kupukutika kama majani makavu kutokana na ukoloni mamboleo!

Mashuhuda wa utunzaji bora wa mazingira wanaendelea kupukutika kutokana na vita ya ukoloni mamboleo inayoendeshwa kichini chini!

Mashuhuda wa utunzaji bora wa mazingira duniani wanavyopukutika!

07/03/2018 07:29

Baba Mtakatifu Francisko katika waraka wake wa kitume "Laudato si" anaitaka familia ya Mungu duniani kusimama kidete kulinda, kutetea, kutunza na kuendeleza mazingira nyumba ya wote ili kukuza na misingi ya haki, amani, usawa, utu na heshima ya binadamu wote pasi na ubaguzi!

Papa Francisko analitaka Shirika la Posta Italia kuboresha sera, mikakati na miundo mbinu daima likilenga kutoa huduma makini kwa wananchi wa Italia.

Papa Francisko analitaka Shirika la Posta Italia kuboresha sera, mikakati na miundo mbinu daima likiendelea kua aminifu kwa lengo msingi ambalo ni huduma makini kwa wananchi wa Italia.

Boresheni miundo mbinu na teknolojia daima mkizingatia huduma makini

10/02/2018 16:40

Baba Mtakatifu Francisko anawataka viongozi pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Posta Italia kuhakikisha kwamba, wanajikita katika mchakato wa maboresho ya sera, mikakati, miundo mbinu na teknolojia lakini dama huduma makini kwa wananchi ikipewa kipaumbele cha kwanza katika sera zao!

Papa Francisko anasema uchafuzi na uharibifu mkubwa wa mazingira ni dalili za kupooza kwa upendo!

Papa Francisko anasema, uchafuzi na uharibifu mkubwa wa mazingira ni dalili za kupoa kwa upendo duniani.

Papa Francisko: Uharibifu wa mazingira ni alama ya kupoa kwa upendo

08/02/2018 07:37

Baba Mtakatifu Francisko katika Ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 anasema, hata mazingira yanashuhudia kupoa kwa upendo kwa kazi ya uumbaji kunakosababishwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, utupaji wa taka ngumu baharini pamoja na athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi.

Papa Francisko asema kipaumbele cha Kanisa nchini Perù ni utamadunisho na uinjilishaji eneo la Amazonia!

Papa Francisko asema, kipaumbele cha kwanza kwa Kanisa nchini Perù ni utamadunisho na uinjilishaji wa kina kwenye eneo la Amazonia.

Papa Francisko: Kipaumbele cha Kanisa Perù: Uinjilishaji wa Amazonia

31/01/2018 07:02

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Maaskofu kuwa karibu zaidi na wakleri wao; kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya Kiinjili ili kupambana na saratani ya rushwa, ufisadi na kumong'onyoka kwa haki msingi, utu na heshima ya binadamu. Maaskofu wathamini majadiliano katika ukweli na uwazi.