Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Waraka wa Kitume: Huruma na amani

Papa Francisko asema, walimwengu wana kiu kubwa sana ya kuwaona mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu katika maisha yao!

Papa Francisko asema, walimwengu wana kiu kubwa ya kutaka kuonana na mashuhuda na vyombo vya huruma katika maisha yao, ili kuwashirikisha: Injili ya imani, matumaini na mapendo yanayobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake.

Walimwengu wanatamani kuwaona mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu

12/03/2018 11:35

Baba Mtakatifu Francisko anasema, ulimwengu mamboleo una kiu ya kutaka kuwaona na kukutana na mashuhuda pamoja na vyombo vya huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao, ili kuwaonjesha Injili ya furaha, imani na matumaini kwa leo na kesho iliyo bora zaidi kutoka kwa Kristo Yesu!

Huruma ya Mungu inajidhihirisha zaidi katika Sakramenti za Uponyaji yaani: Mpako Mtakatifu na Sakramenti ya Upatanisho.

Huruma ya Mungu inajidhihirisha kwa namna ya pekee katika Sakramenti ya Uponyaji yaani: Mpako Mtakatifu na Sakramenti ya Upatanisho.

Mapadre ni vyombo na mashuhuda wa huruma ya Mungu!

02/03/2018 11:11

Baba Mtakatifu Francisko anasema, huruma ya Mungu inajidhihirisha kwa namna ya pekee kabisa, katika maadhimisho ya Sakramenti za Uponyaji yaani: Sakramenti ya Mpako Mtakatifu na Sakramenti ya Upatanisho! Hapa waamini wanaonja: huruma, upendo na msamaha wa dhambi na maisha mapya!

Familia ya Mungu nchini Kenya inahamasishwa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma na matumaini.

Familia ya Mungu nchini Kenya inahamasishwa kuwa ni shuhuda na chombo cha huruma na matumaini.

Familia ya Mungu nchini Kenya iweni mashuhuda wa matumaini na huruma

11/10/2017 14:05

Nyaraka za Baba Mtakatifu Francisko za kufungua Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu "Uso wa huruma" na "Huruma na amani" zinakita mizizi yake katika maisha na utume wa Kanisa, kwa kutoa kipaumbele cha kwanza katika mchakato wa umwilishaji wa huruma ya Mungu katika maisha!