Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Waraka: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo

Papa Francisko anawataka wanamichezo kujenga na kudumisha umoja na mshikamano kama kielelezo cha amani na utulivu!

Papa Francisko anawataka wanamichezo kujenga na kudumisha umoja na mshikamano kama kielelezo cha amani, utulivu na weledi katika utekelezaji wa dhamana na majukumu yao katika jamii.

Papa Francisko: Michezo idumishe: amani, utulivu, ufanisi na umoja

29/06/2018 09:00

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wanamichezo mbali mbali kuhakikisha kwamba, wanakazia umuhimu wa kujenga na kudumisha umoja na mshikamano kama timu, ili kukuza na kudumisha amani, utulivu, ufanisi na weledi kama matunda ya kazi ya mtu binafsi, lakini zaidi kama kazi ya pamoja!

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

KOMBE LA DUNIA 2018: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu

12/06/2018 11:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, michezo inayo nafasi muhimu sana katika mchakato wa uinjilishaji mpya kwani ni nyenzo msingi katika kusimamia na kudumisha haki msingi za binadamu; ni njia ya mchakato wa utakatifu; ni mahali muafaka pa kuonja uzuri na utakatifu wa kazi ya uumbaji, umoja na udugu.