Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wanandoa

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Papa: Maisha ya Utakatifu na kila mateso yanapitia katika Msalaba

13/09/2017 16:20

Tarehe 14 Septemba Kanisa Katoliki linaadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba.Baba Mtakatifu Francisko anasema kumbukeni daima kwamba,ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo,ubaya wa shetani umeshindwa pia mauti.Kwa njia hiyo tumepata maisha na kurudishiwa matumaini ya kweli katika Kristo.

 

Utume wa maisha ya ndoa na familia uwasaidie wanandoa kuonja huruma na upendo wa Kristo kwa njia ya Kanisa!

Utume wa maisha ya ndoa na familia uwasaidie wanandoa kuonja huruma na upendo wa Kristo kwa njia ya Kanisa!

Utume wa maisha ya ndoa na familia!

04/01/2017 07:15

Baba Mtakatifu Francisko katika Wosia wake wa kitume Furaha ya upendo ndani ya familia anazialika kwa namna ya pekee familia zenya madonda na machungu ya maisha na wito wake wa ndoa kujizatiti na kuanza kutembea katika mwanga wa imani na matumaini bila kukata wala kukatishwa tamaa!

Baba Mtakatifu Francisko akiwasili wakati wa Katekesi yake, Jumatano tarehe 11 Novemba 2015

Baba Mtakatifu Francisko akiwasili wakati wa katekesi, Jumatano tarehe 11 Novemba 2015.

Maisha ya pamoja na kielelezo cha Kanisa dogo la nyumbani!

11/11/2015 14:44

Mama Kanisa anakazia kwa namna ya pekee kwa familia kushikamana katika maisha kwa kusali, kula na kushirikisha furaha, majonzi na matumaini katika mwanga wa upendo na mshikamano kielelezo cha Familia kuwa ni Kanisa dogo la nyumbani!

 

Wazazi na walezi ni mashuhuda wa kwanza wa miito mitakatifu ndani ya Kanisa

Wazazi na walezi ni mashuhuda wa kwanza wa miito mitakatifu ndani ya Kanisa.

Wazazi na walezi, onesheni ushuhuda wenye mvuto katika kuhamasisha miito!

17/07/2015 15:39

Kutokana na changamoto mbali mbali zinazoendelea kuikabilia taasisi ya ndoa na familia, wazazi na walezi wanakumbushwa kwamba, wao ni wasimamizi na wahamasishaji wa kwanza kabisa wa miito mitakatifu ndani ya Kanisa kwa njia ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko.

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 27 Juni 2015 kuongoza Kikao cha Makardinali.

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 27 Juni 2015 anatarajiwa kuongoza mkutano wa Makardinali ili kupitia na hatimaye kupigia kura majina ya wenyeheri wanaotarajiwa kutangazwa kuwa watakatifu na Mama Kanisa.

Papa Francisko kuongoza Mkutano wa Makardinali tarehe 27 Juni 2015

17/06/2015 15:11

Baba Mtakatifu Francisko hapo tarehe 27 Juni anatarajiwa kuongoza mkutano wa kawaida wa Makardinali utakaopembua na hatimaye, kupitisha majina ya wenyeheri wanaotarajiwa kutangazwa kuwa watakatifu na Mama Kanisa kwa siku za usoni.