Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wanafunzi wawili wa Emau

Wafundeni vijana ili kufahamu na kufuata mambo mema, mazuri na matakatifu katika maisha!

Wafundeni vijana ili kufahamu na kufuata mambo mema, mazuri na matakatifu katika maisha.

Vijana jitahidini kutafuta mambo mema, mazuri na matakatifu!

08/05/2018 11:30

Vijana wanapaswa kufundwa ili kufahamu na kufuata mambo mema, mazuri na matakatifu katika maisha yao. Lengo ni kuwawezesha vijana kuchuchumilia na kuambata kilicho chema, kweli na kizuri! Hii ni kanuni maadili katika mchakato wa maisha ya vijana wa kizazi kipya kama mashuhuda wa Injili ya Kristo!

Tarehe 15 Aprili Papa Francisko ametembelea Parokia ya Mt. Paulo wa Msalaba Roma

Tarehe 15 Aprili Papa Francisko ametembelea Parokia ya Mt. Paulo wa Msalaba Roma

Ziara ya Papa Francisko katika Parokia ya Mt.Paulo wa Msalaba,Roma!

16/04/2018 16:00

tarehe 15 Aprili 2018 mjaria ya jioni Baba Mtakatifu Francisko alitembelea Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Roma. Wakati wa mahubiri ya Misa amesisitiza juu ya  kuomba neema kwake Kristo aliye hai kwa maana amefufuka.Yeye ndiye maisha yetu na ujana wetu, anapyaisha ujana wa Kanisa

 

 

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafunulia wafuasi wake Fumbo la Ufufko na kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu!

Kristo Yesu Mfufuka alijitahidi kuwafunulia Mitume wake Fumbo la Ufufuko kiasi cha kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu.

Kristo Mfufuka ameondoa hofu na mashaka, sasa ni ushuhuda tu!

12/04/2018 15:50

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafafanulia wafuasi wake kuhusu Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wake, kwa kuwashirikisha wafuasi wake uhalisia wa maisha yake kama Mfufuka, akawaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu ili kuonja uwepo wake endelevu kama ilivyo hata katika kuumega mkate.

Kristo Mfufuka aliwaimarisha wanafunzi wake katika imani, matumaini na mapendo kwa kutembea, kuzungumza, kula pamoja na kuwapatia nafasi ya kumgusa.

Kristo Mfufuka aliwaimarisha wanafunzi wake kwa kutembea pamoja nao njiani, kuwafafanulia Maandiko Matakatifu, kula pamoja na kuwaruhusu kumgusa!

Waamini shindeni woga ili kumtangaza na kumshuhudia Kristo Mfufuka!

11/04/2018 15:44

Yesu Mfufuka alianzisha uhusiano na mafungano ya pekee na wafuasi wake waliokuwa wamegubikwa kwa hofu na mashaka makuu baada ya mateso na kifo chake Msalabani! Akatembea nao njiani ili kuwafafanulia Maandiko Matakatifu, akawaruhusu kumgusa na hatimaye kula chakula pamoja nao, wakamtambua!

 

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa ya kujenga na kudumisha umoja, udugu na mshikamano wa upendo na watu wanaoteseka.

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka ni fursa na mwaliko wa kujenga na kudumisha umoja, upendo na mshikamano na maskini pamoja na watu wanaoteseka sehemu mbali mbali za dunia.

Fumbo la Pasaka ni fursa ya kushuhudia mshikamano wa upendo na udugu

09/04/2018 08:56

Baba Mtakatifu Francisko mwezi Septemba 2017 alizindua kampeni ya kimataifa ya ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia, inayosimamiwa na kuratibiwa na Caritas Internationalis kwa kuongozwa na kauli mbiu "Share the journey" yaani "Shiriki safari", kielelezo cha ukarimu!

Kiini cha imani katika ufufuko ni tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na wafuasi ambao walikutana kweli na Kristo Mfufuka.

Kiini cha imani katika ufufuko ni tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na wafuasi ambao walikutana kweli na Kristo Yesu, Mfufuka.

Tafakari ya kina kuhusu Fumbo la Pasaka

31/03/2018 13:51

Fumbo la ufufuko wa Kristo Yesu ni tukio halisi, lililokuwa na matokeo yaliyothibitishwa kihistoria kama ilivyoandikwa kwenye Agano Jipya. Kristo alitesa, akafa na kufufuka kwa wafu na baadaye amewatokea wafuasi wake ambao wamekuwa mashuhuda wa tukio hili la imani!

 

Sherehe ya Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani, matumaini na mapendo ya Mungu kwa mwanadamu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani, matumaini na mapendo ya Mungu kwa binadamu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu: Mwili na Damu Azizi ya Kristo Yesu!

19/06/2017 11:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kila Mwaka Mama Kanisa anayofuraha kubwa ya kusherehekea na kushuhudia Fumbo la Ekaristi Takatifu, chanzo na kilele cha maisha na utume wa Kanisa. Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani ya Kanisa kwa kumwabudu Yesu anayejisadaka kuwa chakula na kinywaji!