Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wamisionari wa huruma ya Mungu

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa, uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ameeleza umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa!

28/05/2018 15:03

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa njia ya Video kwa ajili ya shughuli ya kipapa za kimisionari,(POM) kufuatia ufunguzi wa Mkutano wao mkuu wa mwaka, tarehe 28 Mei 2018.Katika ujumbe anaonesha kwa dhati umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa mahalia na ulimwengu!

 

 

Papa Francisko ameshiriki na mamia elfu katika maadhimisho ya Miaka 50 ya chama cha Njia ya Wakatekumene na kubariki mitume kwenda  kutangaza Injili

Papa Francisko ameshiriki na mamia elfu katika maadhimisho ya Miaka 50 ya chama cha Njia ya Wakatekumene na kubariki mitume kwenda duniani kutangaza Injili

Vumbi kutimka katika Kilele cha Miaka 50 ya Njia ya Ukatekumeni Mpya Roma!

05/05/2018 14:15

Hotuba ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 5 Mei 2018 kwa wanachama wa Njia ya Ukatekumeni Mpya kutoka sehemu mbalimbali za dunia waliofika Roma ili kukaa na Baba Mtakatifu Francisko na kumwimbia Mungu wimbo wa Shukrani, e Deum, wakiadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. 

 

Wakristo wanapaswa kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu katika ulimwengu mamboleo!

Wakristo wanapaswa kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu katika ulimwengu mamboleo.

Waamini wanapaswa kuwa ni mashuhuda vyombo na manabii wa huruma!

17/04/2018 09:31

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya Huruma ya Mungu yamekuwa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni mashuhuda, vyombo na manabii wa huruma ya Mungu inayomwilishwa katika uhalisia wa maisha ya watu, kielelezo makini cha imani tendaji!

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamissionari-R

Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano -Roma

Kongamano la 62 kitaifa la Waseminari kuanzia 12-15 Aprili huko Padua!

11/04/2018 13:29

Tarehe 12 -15 Aprili litafanyika Kongamano la 62 la kitaifa kwa Waseminari nchini Italia litakalofanyika  huko Padua;na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi litafanyika Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano-Roma likiongozwa na kauli mbiu:lakini kwakuwa umesema nitatupa ndoto zangu

 

Wamisionari wa huruma ya Mungu wanapaswa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano.

Wamisionari wa huruma ya Mungu wanapaswa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano kati ya watu!

Papa Francisko: Wamisionari mwinueni Kristo Yesu, nguvu ya umoja!

10/04/2018 15:03

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Wamisionari wa huruma ya Mungu kutekeleza vyema dhamana na wajibu wao kwa kutambua kwamba, wao kwa hakika ni mashuhuda na vyombo vya huruma ya Mungu, kwa kuzaliwa kutoka juu, tayari kumwinua Kristo Yesu, nguvu ya umoja, upendo na mshikamano!

Wamisionari wa huruma ya Mungu ni vyombo vya faraja, huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake!

Wamisionari wa huruma ya Mungu ni vyombo vya faraja, huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake.

Papa Francisko: Wamisionari wa huruma ni vyombo vya upendo na faraja

10/04/2018 14:44

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Wamisionari wa huruma ya Mungu ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo na faraja ya Mwenyezi Mungu kwa waja wake. Kwa njia yao waamini wengi wamepata nafasi ya msamaha na maondoleo ya dhambi zao, sasa wanaweza kusonga mbele kwa imani zaidi!