Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wamelkiti

Tarehe 13 Februari Misa ya  asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Tarehe 13 Februari Misa ya asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Misa ya Papa Francisko Katika kanisa la Mt Marta na Patriaki wa Antiokia!

13/02/2018 16:19

Asubuhi ya tarehe 13 Februari 2018,kama kawaida ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican,lakini hakuhubiri,bali ametoa maelezo kuhusu uwepo wa Patriaki wa Kanisa la Antiokia wa Kigiriki-Melkiti Youssef Absi na Ujumbe wake wote katika misa

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti mjini Vatican

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti mjini Vatican

Hotuba ya Papa Francisko kwa wajumbe wa Sinodi ya Kigiriki-Melkiti!

12/02/2018 15:23

Baba Mtakatifu Francisko ametoa hotuba  kwa wajumbe wa Sinodi ya Wagiriki-Wamelkiti aliokutana nao tarehe 12 Februari 2018 mjini Vatican.Leo hii kama daima anawaakikishia uwepo wake karibu katika sala,ili Bwana Mfufuka awe karibu na kumsindikiza kiongozi mpya katika utume aliokabidhiwa