Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wakimbizi

Wakati wa kiangazi Jumuiya ya Mt. Egidio inajishughulisha kuwasaidia wazee pweke na watu wasio kuwa na mahali pa kulala

Wakati wa kiangazi Jumuiya ya Mt. Egidio inajishughulisha kuwasaidia wazee pweke na watu wasio kuwa na mahali pa kulala

Jumuiya ya Mt.Egidio yawasaidia wazee na wahitaji wakati wa kiangazi

17/08/2017 15:19

Jumuiya zote za Mtakatifu Egidio nchini Italia nazo zinajikita katika njia ya mshikamano kwa wale wote wenye kuhitaji Na hiyo ni pamoja na vituo vingine katika ulimwengu mahali ambapo Jumuiya hizo ipo kama sehemu ya karama yao.Wanaandaa pia chakula kwa watu wanao lala vituo vya Treni

 

Papa Francisko anawashukuru wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa mchango wao kwa familia na wakristo huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko anawashukuru wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia pamoja na kuwasaidia Wakristo huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko awashukuru wajumbe wa "Knights of Columbus"

03/08/2017 15:06

Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru na kuwapongeza wajumbe wa Chama cha Kitume cha "Knights of Columbus" kwa kujisadaka kwa ajili ya kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya kijumuiya sanjari na kuwasaidia kwa hali na mali Wakristo wanaoteseka huko Mashariki ya Kati.

Biashara haramu ya binadamu ni kati ya mambo ambayo pia yanachangia wimbi kubwa la wahamiaji na wakimbizi duniani, kinyume cha utu wa binadamu.

Biashara haramu ya binadamu ni kati ya mambo yanayochangia kuibuka kwa wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani kinyume cha utu na heshima ya binadamu!

Wimbi kubwa la wakimbizi lisishughulikiwe kama moto wa mabua!

27/07/2017 06:50

Kuna sababu mbali mbali ambazo zinachangia kwa makundi makubwa ya watu kuamua kuzikimbia au kuzihama nchi zao, baadhi yake ni vita, ghasia, nyanyaso na mipasuko ya kisiasa; dhuluma na nyanyaso za kidini; athari za mabadiliko ya tabianchi kama vile: ukame na baa la njaa ya kutisha!

Kuna uhusiano mkubwa kati wahamiaji na maendeleo endelevu ya binadamu!

Kuna uhusiano mkubwa kati ya maendeleo endelevu ya binadamu.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya wahamiaji na maendeleo endelevu!

25/07/2017 07:00

Vatican inaendelea kushiriki katika mchakato wa maboresho ya "Mkataba wa Kimataifa juu ya usalama wa wahamiaji 2018" unaopania kuboresha: maisha, haki msingi za wahamiaji; utu na heshima yao; umuhimu wa kuwasikiliza, kuwajali na kuwahudumia sanjari na kudumisha usalama na maisha bora zaidi.

Haki msingi za wakimbizi na wahamiaji hazina budi kukuzwa na kudumishwa!

Haki msingi za wakimbizi na wahamamiaji hazina budi kukuzwa na kudumishwa na wote.

Huduma kwa wakimbizi na wahamiaji: mafungamano ya kifamilia!

22/07/2017 14:31

Askofu mkuu Ivan Jurkovic anasema mshikamano wa kifamilia ni jambo muhimu sana katika majadiliano kuhusu haki za wakimbizi na wahamiaji duniani. Jumuiya ya Kimataifa haina budi kutambua uchungu wa mtu kuacha familia, nchi na utamaduni wake ili kutafuta hifadhi ughaibuni!

Mwezi Novemba, 2017 Kanisa linazindua mpango mkakati kwa ajili ya huduma kwa wahamiaji

Mwezi Novemba 2017 Kanisa linazindua mpango mkakati kwa ajili ya huduma kwa wahamiaji duniani.

Kanisa mwezi Novemba 2017 kuwasilisha mpango mkakati kwa wahamiaji

21/07/2017 16:52

Wimbi kubwa la wahamiaji ni changamoto kubwa inayopaswa kuvaliwa njuga na wadau mbali mbali ili kuhakikisha kwamba, utu, heshima na haki zao msingi zinazingatiwa na kuheshimiwa na wote. Mwezi Novemba, Kanisa linazindua mpango mkakati wa kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji duniani!

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, hali ni mbaya sana Sudan ya Kusini kutokana na ukata na vita ya muda mrefu.

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, hali ya maisha ya ngumu sana Kusini mwa Sudan kutokana na ukata wa serikali uliosababishwa na vita vya muda mrefu!

Kumbu kumbu ya Miaka 6 ya Uhuru wa Sudan ya Kusini! Hali ni tete sana

14/07/2017 15:02

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, kumbu kumbu ya miaka 6 ya uhuru wa Sudan ya Kusini imejikita zaidi katika mateso na mahangaiko ya watu ambao wameshuhudia haki msingi, utu na heshima ya binadamu vikivurugwa kiasi cha watu kukata tamaa na mwelekeo wa maisha! Amani inahitajika!

Kardinari Sandri: Ukraine jengeni umoja unaofumbatwa katika haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Kardinali Sandri: Ukraine jengeni umoja unaofumbatwa katika misingi ya haki, amani na upatanisho wa kitaifa!

Ukraine: Jengeni umoja wa kitaifa unaofumbatwa katika upatanisho!

14/07/2017 14:29

Kardinali Leonardo Sandri anawataka wananchi wa Ukraine kujenga na kudumisha umoja unaofumbatwa katika msingi wa haki, amani na upatanisho wa kitaifa kwa kuondokana na kinzani, ghasia na migawanyiko ya watu; mambo ambayo yanaendelea kusababisha maafa makubwa kwa watu na mali zao!