Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wajibu wa kijamii

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika waraka wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Katika kuadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi 2018 Baraza la Maaskofu Italia wameandika Ujumbe wao kuhusu hadhi ya mtu kuhusiana na kazi

Ujumbe wa Mei Mosi wa Baraza la Maaskofu Italia kuhusu hadhi ya Mtu!

12/04/2018 16:30

Hadhi ya mtu haiwezi kuwa na maana ya kubadilishwa kama fedha, badala yake ni kujumuishwa katika ule mzunguko wa umoja kwa upande wa haki na uwezo ambao ni suala nyeti la kila jamii.Ni uthibitisho kutoka katika Ujumbe wa Tume ya Maaskofu Italia kwa tukio la sikukuu ya Mei Mosi 2018

 

 

Mei Mosi, wafanyakazi wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani: Ni siku ya haki na wajibu!

Mei Mosi, wafanyakazi wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani inayowakumbusha kwamba, haki na wajibu ni sawa na chanda na pete.

Siku ya Wafanyakazi Duniani: Ajira, Utu, haki na wajibu!

01/05/2017 12:55

Kila mwaka, Mei Mosi, wafanyakazi sehemu mbali mbali za dunia wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani ili kutafakari kwa kina: mafanikio, matatizo, changamoto na fursa zilizopo katika mchakato wa maboresho ya kazi kama sehemu ya utimilifu wa utu na heshima ya binadamu! Ni Sikuu ya Mt. Yosefu.