Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Waislam

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Utetezi wa utofauti, Indonesia ndiyo wito uliotolewa na viongozi wa dini !

08/06/2018 11:36

Kutetea utofauti nchini Indonesia ndiyo wito ulio tolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali na utamaduni walio unganika hivi karibuni  wakati wa fursa ya mwezi wa Ramadhani katika Kanisa Kuu katoliki la Jakarta,siku ya maadhimisho ya Pancasila ambayo ni kadi ya misingi mitano na kiini cha Katiba 

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Ujumbe wa Baraza la Mazungumzo ya kidini katika fursa ya mfungo wa Ramadhan

18/05/2018 17:07

Katika fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, umetolewa ujumbe wa Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini ukiwa na kauli mbiu “wakristo na waislam: kuondoka katika mashindano ili kuelekea ushirikiano kwa ajili ya mwezi wa Ramadhan na ‘ID AL-FITR 1439 H. / 2018 A.D.;Ushirikiano ni muhimu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

Maombolezo kwa kifo cha Imam katika msikiti wa Durban Afrika ya Kusini aliyeuwawa na wengine wawili kujeruhiwa

Maombolezo kwa kifo cha Imam katika msikiti wa Durban Afrika ya Kusini aliyeuwawa na wengine wawili kujeruhiwa

Kanisa Katoliki A.Kusini washutumu tendo la kuchoma Msikiti wa Durban !

12/05/2018 15:20

Tumepokea kwa mshutuko pia masikitiko makubwa ya mashambulizi ya msikiti wa Imam Hussein huko Verulam, Durban na kuwawa kwa imaman wa msikiti huo na wengine wawili kujeruhiwa. ni ujumbe uliotiwa saini na Askofu Stephen Brislin, Askofu Mkuu wa Cape Town na Rais wa (SACBC

18 Januari 2018 Chuo Kikuu cha Kipapa watafanya mkutano kuhusu mada ya msamaha

18 Januari 2018 Chuo Kikuu cha Kipapa Roma watafanya mkutano kuhusu mada ya msamaha

18 Januari 2018, Mkutano katika Chuo cha Santa Croce kuhusu Msamaha!

15/01/2018 15:56

Tarehe 18 Januari 2018, Chuo Kikuu cha Kipapa cha Santa Croce, kimeandaa mada ya kwanza  kuhusu suala msamaha, mada itakayo waona washiriki wengi,hasa kuwaunganisha wataalam wa masuala ya mada hiyo kutoka nchi mbalimbali.Ni mada msingi kwa wakristo,wayahudi na waislam

Patriaki wa Babilonia Luis Raphael I Sako anafikiria kwamba ulimwengu wote unapaswa kuwaombea na  kuwasaidia wakristo wa nchi za Mashariki

Patriaki wa Babilonia Luis Raphael I Sako anafikiria kwamba ulimwengu wote unapaswa kuwaombea na kuwasaidia wakristo wa nchi za Mashariki

Dunia iwaombee na kuwasaidia wakristo warudi katika nchi zao

04/08/2017 14:45

Patriaki wa Babilonia Luis Raphael I Sako anafikiria kwamba ulimwengu wote unapaswa kuwaombea na kuwasaidia wakristo wa nchi za Masahriki ili waweze kubaki na kurudi katika nchi zao,kwa sasa wakristo wanakabiliwa na matatizo mengi kama vile mashambulizi ya mara kwa mara  na kuteswa.