Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wahamiaji

Zakumbukwa roho za marehemu wahamiaji

Zakumbukwa katika mkesha wa sala wa Jumuiya ya Mt. Egidio, roho za marehemu wahamiaji

Wakumbukwa wahamiaji waliofariki katika safari ya matumaini

23/06/2017 14:37

Jumuiya ya Mt. Egidio yafanya mkesha wa sala siku ya Alhamisi, tarehe 22 Juni 2017, kuwakumbuka wahamiaji marehemu, waliopoteza uhai wao wakati wa safari ya matumaini kupata hifadhi barani Ulaya. Padre Marco Gnavi, awaalika waamini barani Ulaya kudumu katika mshikamano na ukarimu.

Papa Francisko anawapongeza na kuwashukuru wale wote wanaojisadaka kwa ajili ya wakimbizi na wahamiaji duniani.

Papa Francisko anawapongeza na kuwashukuru wale wote wanaojisadaka wa ajili ya wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia.

Huduma kwa wakimbizi ipanie kujenga huduma ya upendo na mshikamano!

21/06/2017 16:45

Baba Mtakatifu Francisko katika mkesha wa maadhimisho ya Siku ya Wahamiaji Duniani kwa Mwaka 2017 amekutana na kuzungumza na wawakilishi wa makundi ya wakimbizi na wahamiaji wanaopatia hifadhi ya kijamii katika taasisi mbali mbali za Kanisa, Jimbo kuu la Roma!

Papa Francisko anawataka wakleri kuachana na tabia ya kupinga kila jambo; kujenga mahusiano mema na watu na kumwilisha huduma katika uhalisia wa watu.

Papa Francisko anawataka wakleri kuachana na tabia ya kupinga kila jambo, kujenga mahusiano mema na watu wanaowahudumia pamoja na kuhakikisha kwamba, huduma za kiroho zinamwilishwa katika uhalisia wa maisha ya watu.

Padre Primo Mazzolari, alikuwa ni Baba wa maskini na waliotelekezwa!

20/06/2017 16:48

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuwaonya Mapadre kuachana na tabia ya kupinga kila jambo linalojitokeza mbele yao! Kuepuka tabia ya kufanya kazi nyingi bila kujenga mahusiano mema na watu wanaowahudumia; tatu washughulikie mambo ya kiroho kwa kushuka katika uhalisia wa maisha ya watu!

 

Wakimbizi na wahamiaji ni sehemu ya familia ya binadamu wanapaswa kuheshimiwa na kuthaminiwa!

Wakimbizi na wahamiaji ni sehemu ya familia ya watu wa Mungu wanapaswa kuheshimiwa na kuthaminiwa!

Kard. Basseti: Hakuna mtu wa kuja, wote wanaunda familia ya binadamu!

20/06/2017 06:58

Vita inayoendelea kupamba moto sehemu mbali mbali za dunia, ghasia na mipasuko ya kijamii na kisiasa; athari za mabadiliko ya tabianchi, umaskini na maradhi ni kati ya mambo yanayoendelea kuchangia wimbi kubwa la wahamiaji na wakimbizi duniani. Leo hii kuna watu millioni 65.6 ni wahamiaji!

Papa Francisko anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kuonesha upendo na mshikamano kwa wakimbizi na wahamiaji.

Papa Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuonesha upendo na mshikamano kwa wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta hifadhi, usalama na maisha bora zaidi ughaibuni.

Papa Francisko: Onesheni upendo na mshikamano na wakimbizi

19/06/2017 12:05

Tarehe 20 Juni 2017 Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani inayoongozwa na kauli mbiu "Pamoja na wakimbizi. Kuliko wakati mwingine wowote, hatuna budi kuwa upande wa wakimbizi. Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kuwaombea na kuwaonesha upendo!

Idara ya Wahamiaji na Wakimbizi mjini Vatican imepembua kwa kina na mapana Mkataba wa Kimataifa juu ya Usalama wa wahamiaji, Global Compact.

Idara ya Wahamiaji na Wakimbizi katika Baraza la Kipapa la Huduma ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu imepembua kwa kina mapana Mkataba wa Kimataifa juu ya usalama na haki msingi za wahamiaji na wakimbizi duniani, maarufu Global Compact.

Mchakato wa kukabiliana na changamoto ya wakimbizi na wahamiaji!

17/06/2017 08:19

Mkataba wa Kimataifa juu ya usalama wa Wahamiaji, maarufu kama "Global Compact" ni changamoto ambayo imevaliwa njuga wakati wa semina maalum iliyoandaliwa na Idara ya Wahamiaji na Wakimbizi, ili kuangalia changamoto, fursa na matatizo yanayoendelea kuwakabili wahamiaji na wakimbizi!

Kanisa nchini Ugiriki lahitaji msaada kuhudumia wahamiaji

Kanisa nchini Ugiriki lahitaji msaada kuhudumia wahamiaji

Kanisa Katoliki Ugiriki laomba kusaidiwa kusaidia wahamiaji

15/06/2017 15:04

Askofu mkuu Sevastianos Rossolatos, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Ugiriki, atoa mwaliko kwa waamini Barani Ulaya kulisaidia Kanisa nchini Ugiriki katika kuhudumia wahamiaji, kufuatia ukweli kwamba akiba waliyo nayo inaishia mwezi Novemba 2017.

Kwa ushirikiano kati ya Afrika na Ulaya, wahamiaji waanza kuridhia kurejea nyumbani

Kwa ushirikinao kati ya Afrika na Ulaya, wahamiaji wengi waanza kuridhia kurejea nyumbani

Ushirikiano wa Afrika na Ulaya kuhudumia wahamiaji wakomaza matunda

15/06/2017 14:09

Bi Federica Mogherini, Waziri wa Mambo ya nchi za nje na Ushirikiano wa kimataifa wa Umoja wa Ulaya atoa taarifa jinsi matunda ya ushirikiano kati ya Umoja huo na nchi tano za Afrika yanavyokomaa katika kuhudumia wahamiaji, ambapo wengi wamerejea kwa hiari nchini mwao.