Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wagonjwa

Baba Mtakatifu Francisko amehimiza waamini wa Pietrelcina  kushuhudia ukuhani wa Padre Pio

Baba Mtakatifu Francisko amehimiza waamini wa Pietrelcina kushuhudia ukuhani wa Padre Pio

Ziara ya Papa Francisko Pietrelcina: Igeni mifano ya Padre Pio!

17/03/2018 10:25

Hotuba ya kwanza ya Papa Francisko huko Pietrelcina tarehe 17 Machi 2018, akiwa katika Ziara yake  akielekea  hata San Giovanni Rotondo.Papa Francisko amesema kwamba waige mifano ya fadhila za padre Pio katika sala ili waweze kuwa vyombo vya upendo wa Mungu na upendo wa Yesu kwa wadhaifu.

 

Tarehe 27 Januari 2018, Papa Francisko amekutana na wanachama 7000 wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Italia

Tarehe 27 Januari 2018, Papa Francisko amekutana na wanachama wawakilishi 7000 wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Italia

Hotuba ya Papa kwa Wawakilishi wa Chama cha Msalaba Mwekundu Italia!

27/01/2018 16:13

Baba Mtakatifu akihitimisha hotuba yake wakati wa kukutana na wawakilishi wa Chama cha Msalaba Mwekundu Italia,mawazo yake yamewaendea wale waliopoteza maisha wakati wakitoa huduma yao.Amesema,hawajapoteza,Yesu alisema, hakuna upendo mkuu kutoa maisha kwa ajili ya wengine.

 

Papa Francisko anatarajiwa kuadhimisha Ibada mbali mbali za Misa kwa ajili ya kufunga Kipindi cha Noeli kwa Mwaka 2018.

Papa Francisko anatarajiwa kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kufunga Kipindi cha Noeli kwa Mwaka 2018.

Ratiba elekezi kwa Papa Francisko kufunga kipindi cha Noeli 2018

04/01/2018 12:03

Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kuadhimisha Sherehe ya Tokeo la Bwana, Jumamosi tarehe 6 Januari; Ibada ya Sherehe ya Ubatizo wa Bwana katika Kikanisa cha Sistina hapo tarehe 7 Januari na Kuzungumza na Wanadiplomasia hapo tarehe 8 Januari 2018.

 

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Kuadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msambala unakumbusha kuwa ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo, ubaya wa shetani umeshindwa pamoja na mauti

Papa: Maisha ya Utakatifu na kila mateso yanapitia katika Msalaba

13/09/2017 16:20

Tarehe 14 Septemba Kanisa Katoliki linaadhimisha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba.Baba Mtakatifu Francisko anasema kumbukeni daima kwamba,ni kwa njia ya msalaba wa Yesu Kristo,ubaya wa shetani umeshindwa pia mauti.Kwa njia hiyo tumepata maisha na kurudishiwa matumaini ya kweli katika Kristo.

 

Wakati wa Sala ya Malaikwa wa Bwana, Baba Mtakatifu Francisko amekumbusha mapumziko ya kipindi cha kiangazi na ziaidi kuwakumbuka wale wenye matatizo

Wakati wa Sala ya Malaikwa wa Bwana, Baba Mtakatifu Francisko amekumbusha mapumziko ya kipindi cha kiangazi na ziaidi kuwakumbuka wale wenye matatizo kama wazee, wagonjwa na wasio kuwa na uwezo kiuchumi

Malaika wa Bwana:Likizo ni fursa ya kutafakari Neno la Mungu

07/08/2017 15:42

Katika kung’ara kwa Bwana ilisikika sauti ya Baba Mwenyezi ikisema:huyo ndiye mwanangu mpendwa msikilizeni yeye.Tutazama Maria Mama msikivu ambaye daima yuko tayari kusikiliza na kutunza moyoni mwake kila Neno la Mtoto wake mpendwa; aweze kutusaidia kulishika neno la Mungu

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchumilia utakatifu

Waamini waalikwa wajitose ulingoni kuuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku

Waamini msiishie utazamaji, jitoseni ulingoni kuchuchumilia utakatifu

14/06/2017 14:16

Kardinali Leonardo Sandri, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki, awaalika waamini katika kumbukumbu ya mtakatifu Antoni wa Padua, kutoishia kushabikia watakatifu, bali wajitose pia ulingoni ili kuchuchumilia utakatifu katika maisha ya kila siku.

Yesu daima ni chemchemi ya imani, matumaini na faraja kwa wale wote wanaomkimbilia katika maisha yao!

Yesu Kristo daima ni chemchemi ya imani, matumaini, mapendo na faraja kwa wale wote wanaomkimbilia katika shida na mahangaiko yao!

Papa Francisko: Yesu ni chemchemi ya faraja, imani na matumaini!

26/05/2017 15:45

Familia ya Mungu Jimbo kuu la Genova, inamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuendelea kuwa kweli ni shuhuda na chombo cha huruma, upendo na faraja kwa maskini, wagonjwa na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii, changamoto kwa waamini kushiriki utume huu.

Fistula inasababishwa na  kusukuma mtoto wakati wa kujifungua kwa muda mrefu bila usaidizi au matibabu yeyote hivyo wanawake lazima kujifungua clinic

Fistula inasababishwa na kusukuma mtoto wakati wa kujifungua kwa muda mrefu bila usaidizi au matibabu yeyote hivyo wanawake lazima kujifungulia mahospitalini

Tambua vema ugonjwa wa Fistula usiwe na fikra potofu za ulozi!

26/05/2017 14:29

 Dkt D.Okoro,Afisa wa Afya ya Uzazi wa Mpango,UNFPA nchini Kenya amesema mbinu moja katika kuzuia ugonjwa wa Fistula ni kuhakisha mgonjwa anayetibiwa anapewa masharti na kuyafuata.Hata Tanzania UNFPA limekaribisha hatua ya Wizara ya Afya kujipanga kutafiti hali ya Fistula nchini humo.