Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Wabudha

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Utetezi wa utofauti, Indonesia ndiyo wito uliotolewa na viongozi wa dini !

08/06/2018 11:36

Kutetea utofauti nchini Indonesia ndiyo wito ulio tolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali na utamaduni walio unganika hivi karibuni  wakati wa fursa ya mwezi wa Ramadhani katika Kanisa Kuu katoliki la Jakarta,siku ya maadhimisho ya Pancasila ambayo ni kadi ya misingi mitano na kiini cha Katiba 

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Ujumbe wa Kard. Tauran kwa wawakilishi wa mkutano wa dini za kidharma!

16/05/2018 16:16

Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini kwa ushirikiano na ofisi ya kitaifa ya Uekumene na mazungumzo ya kidini ya Maaskofu wa Italia,wameandaa Mkutano wanye mada kuu ya DHARMA na LOGOs.Mazungumzo na ushirikiano katika nyakati ngumu.Kard Tauran ametoa hotuba yake 15 Mei 2018

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Dharma yaani:Wahindu, wabudha,jainists na Sikh pia na Wakristo

Papa amekutana na wawakilishi wa dini za Kidharma na wakristo!

16/05/2018 15:53

Tarehe 16 Mei 2018, Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wawakilishi wa mkutano kutoka katika madhehebu ya wakristo,Wahindu,wabudha,jainists na Sikh.Ameonesha furaha yake ya kukutana nao wakiwa katika fursa ya mkutano  wa mada  Dharma na Neno.mazungumzo na ushirikiano katika enzi ngumu. 

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand

16/05/2018 15:40

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano 16 Mei 2018, amekutana na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand, mjini Vatican ambapo wakati wa hotuba yake ameshukuru zawadi ya kitabu chao Kitakatifu katika Lugha ya kisasa ya wamonaki wa Ekalu la Wat Pho. Amesifu ishala njema ya urafiki na ukarimu!

Zawadi aliyotoa Baba Mtakatifu kwa Baraza Kuu Sanga la Wamonaki wa Kibudha huko Yangon

Zawadi aliyotoa Baba Mtakatifu kwa Baraza Kuu Sanga la Wamonaki wa Kibudha huko Yangon

Mkuu wa Baraza Kuu la Wabudha ametoa wito wa Mshikamano na ujenzi wa madaraja

29/11/2017 16:37

Mwenyekiti wa Baraza la Sangha la Wamonaki wa Kibudha, Bhaddanta Kumarabhivansa anasema,watu wote duniani ni lazima kushirikiana na kujikita kwa pamoja bila woga ili kutimiliza mshikamano wa maisha kijamii kwa usalama na ulinzi.Kwa njia hiyo, inawezekana kupinga aina za uchochezi kidini

Baba Mtakatifu amekutana na Baraza Kuu la Sangha la Wamonaki wakibudha huko Kaba Aye  Yangon

Baba Mtakatifu amekutana na Baraza Kuu la Sangha la Wamonaki wakibudha huko Kaba Aye Yangon

Hotuba ya Papa kwa Baraza Kuu la Sangha:Wabudha na Wakatoliki watembee pamoja

29/11/2017 16:05

Katika mkutano wetu ni fursa ya kurudia kwa upya na kuongeza juhudi za uhusiano wa kirafiki na heshima kati ya wabudha na wakatoliki.Ni maneno ya Baba Mtakatifu Francisko tarehe 29 Novemba 2017,wakati wa kutoa hotuba yake katika Baraza Kuu la Sangha la Wamonaki wa Kibudha,Kaba Aye