Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Vyombo vya mawasiliano

Papa Francisko anasema, njia za mawasiliano ya jamii zisaidie kuvunjilia mbali kuta za utengano kwa kukoleza mchakato wa uinjilishaji mpya.

Papa Francisko anasema, njia za mawasiliano zisaidie kuvunjilia mbali kuta za utengano pamoja na kusaidia kukoleza mchakato wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko.

Papa Francisko: mawasiliano ya jamii yabomoe kuta za utengano!

06/07/2017 12:19

Baba Mtakatifu Francisko anawapongeza wale wote wanaoendelea kujisadaka usiku na mchana ili kuhakikisha kwamba, wanatumia vyema karama, vipaji na zawadi mbali mbali walizokirimiwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuboresha mchakato wa uinjilishaji mpya na ujenzi wa ufalme wa Mungu katika haki!