Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Vita kuu ya Pili ya Dunia

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na shuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na ushuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni mfano bora wa kuigwa na vijana!

05/02/2018 09:53

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyeheri Teresio Olivelli ni shuhuda na chombo cha huruma na upendo wa Kristo kwa maskini na wanyonge, ambaye sasa amejiunga na umati mkubwa wa watakatifu na mashuhuda wa imani wa karne ya ishirini. Ni mwamini mlei na mfano bora wa kuigwa na vijana!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, vita ina madhara makubwa katika maisha ya binadamu!

Baba Mtakatifu Francisko anasema vita ina madhara makubwa sana katika maisha ya binadamu!

Papa Francisko asikitishwa sana na madhara ya vita duniani!

16/01/2018 08:30

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kusimama kidete kulinda, kujenga na kudumisha utamaduni wa amani unaosimikwa katika utu, heshima na haki msingi za binadamu. Amani ya kweli ni kikolezo kikuu cha maendeleo na kwamba, utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha za maangamizi ni hatari sana!

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kukuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba wanakuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana ya wanadiplomasia ni kukoleza majadiliano, haki na amani!

09/01/2018 07:08

Dhamana na wajibu mkubwa wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kujenga na kudumisha utamaduni wa majadiliano katika ukweli na uwazi ili kukuza na kuendeleza misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kimataifa, mwanadamu akipewa kipaumbele cha kwanza!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia changamoto zinazopaswa kushughulikiwa kwa pamoja!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia kuhusu changamoto zinazopaswa kufanyiwa kazi na Jumuiya ya Kimataifa kwa ushirika.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi mjini Vatican kwa Mwaka 2018

08/01/2018 11:40

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amegusia changamoto na fursa mbali mbali ambazo zinaweza kutumiwa na Jumuiya ya Kimataifa katika kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, udugu na mshikamano wa dhati!

Baba Mtakatifu katika mahubiri yake katika makaburi ya Nettuno anasema sura yakini na sauti hasa ile ya mateso mbele ya majanga ya vifo na  migogoro,

Baba Mtakatifu katika mahubiri yake katika makaburi ya Nettuno anasema sura yakini na sauti hasa ile ya mateso mbele ya majanga ya vifo na migogoro,

Papa katika Makaburi ya Nettuno amesema,Vita ni uharibifu wetu sisi!

03/11/2017 09:33

Misa ya marehemu wote kwa upande wa Baba Mtakatifu,imeadhimishwa saa 9.15 mchana masaa ya Ulaya katika Makaburi wa Waamerika waliokufa kipindi cha Vita ya II ya Dunia,ambao wamelala katika Makaburi ya Nettuno Wilayani Roma.Ameweka ishara ya mawaridi kumi katika baadhi ya makaburi

 

 

Japani bado inahitaji kuinjilishwa kwa kujikita katika ushuhuda, majadiliano ya kidini na kitamaduni!

Japan bado inahitaji kuinjilishwa kwa kujikita katika mchakato wa ushuhuda, majadiliano ya kidini na kitamaduni, ili Kristo Yesu aweze kupewa kipaumbele cha kwanza katika maisha.

Bado Japan inahitaji kuinjilishwa!

22/09/2017 16:26

Kardinali Fernando Filoni anasema kutokana na  changamoto mbali mbali zinazoendelea kuibuliwa kwenye ulimwengu wa utandawazi  na maendeleo ya sayansi na teknolojia, kuna haja ya kuendelea kujikita katika mchakato wauinjilishaji unaofumbatwa katika huduma, majadiliano ya kidini na kitamaduni.

Ujenzi wa haki, amani na maridhiano kati ya watu ni sehemu ya mchakato wa uinjilishaji mpya!

Ujenzi wa haki, amani na maridhiano kati ya watu ni sehemu ya mchakato wa uinjilishaji.

Mchakato wa haki na amani ni sehemu ya uinjilishaji mpya!

21/09/2017 16:26

Kardinali Filoni anasema "Hiroshima" maana yake ni "Mji wa amani", changamoto kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwa ni wajenzi na vyombo vya amani ndani na nje ya Japan kama sehemu ya mchakato wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Watu wana kiu ya haki, amani na upatanisho na wala si vita!

Watu wana kiu ya haki, amani na upatanisho na wala si vita!

Watu wana kiu ya amani duniani!

05/08/2017 17:36

Baraza la Maaskofu Katoliki Japan linasema, familia ya Mungu duniani ina kiu ya amani ya kweli na endelevu  na wala si vita, ghasia na mipasuko ya kijamii. Kumbe, waamini wanahamasishwa kuwa kweli ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya amani duniani, kwani vita ni chanzo cha maafa ya binadamu!