Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Vita kuu ya kwanza Dunia

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kukuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana na wajibu wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba wanakuza na kudumisha majadiliano katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Dhamana ya wanadiplomasia ni kukoleza majadiliano, haki na amani!

09/01/2018 07:08

Dhamana na wajibu mkubwa wa wanadiplomasia ni kuhakikisha kwamba, wanajitahidi kujenga na kudumisha utamaduni wa majadiliano katika ukweli na uwazi ili kukuza na kuendeleza misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kimataifa, mwanadamu akipewa kipaumbele cha kwanza!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia changamoto zinazopaswa kushughulikiwa kwa pamoja!

Papa Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa amezungumzia kuhusu changamoto zinazopaswa kufanyiwa kazi na Jumuiya ya Kimataifa kwa ushirika.

Hotuba ya Papa Francisko kwa Mabalozi mjini Vatican kwa Mwaka 2018

08/01/2018 11:40

Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake kwa mabalozi na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican amegusia changamoto na fursa mbali mbali ambazo zinaweza kutumiwa na Jumuiya ya Kimataifa katika kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, udugu na mshikamano wa dhati!

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia

14/10/2017 15:41

Baba Mtakatifu amekutana na kuzungumza na Chama cha Mwenyeheri Mfalme Carlo kwa ajili ya amani duniani kutoka Luxembourg. Sala hiyo inajikita katika muktadha wa miaka100 ya kuwanzishwa kwake chini ya usimamizi wa Papa Benedikto XV  iliyoanzishwa wakati Vita ya Kwanza ya Dunia.

 

Jubilei ya Miaka 100 ya Fatima: tangazeni Injili ya matumaini na amani duniani!

Jubilei ya Miaka 100 ya Fatima: tangazeni Injili ya matumaini na amani duniani.

Fatima: Shindeni dhambi na ubaya wa moyo kwa toba na wongofu wa ndani

12/05/2017 12:10

Mama Kanisa anapoadhimisha Jubilei ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima anawahimiza watoto wake kushinda dhambi na ubaya wa moyo kwa kusimama kidete kutangaza: Injili ya amani, matumaini sanjari na kujizatiti katika kupigania na kudumisha haki msingi za binadamu.

Ujumbe wa Bikira Maria wa Fatima: hija ya mshikamano wa upendo, toba na wongofu wa ndani; sala na amani duniani.

Ujumbe wa Bikira Maria wa Fatima: hija ya mshikamano na upendo; toba na wongofu wa ndani; sala na kuombea amani duniani!

Yaani, asiyekuwa na mwana aeleke jiwe! Fatima kumekucha!

10/05/2017 15:14

Papa Francisko mjini Fatima 2017 pamoja na Bikira Maria kama mahujaji wa amani ndiyo kauli mbiu inayoongoza hija ya kichungaji ya Baba Mtakatifu Francisko kwenye Madhabahu ya B. Maria wa Fatima ambaye anakazia: mshikamano, toba, wongofu wa ndani na kusali Rozari Takatifu!