Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Vita

Jumuiya ya Kimataifa inaweza kutatua ghasia, migogoro kwa njia ya majadiliano katika ukweli na uwazi.

Jumuiya ya Kimataifa inaweza kutatua ghasia, migogoro na kinzani kwa njia ya majadiliano katika ukweli na uwazi, kwa ajili ya ustawi na mafao ya wengi.

Utu na heshima ya binadamu; haki na amani vipewe kipaumbele!

04/08/2017 14:00

Katibu Mkuu wa Vatican akihojiana na Gazeti la Avvenire kuhusu vurugu za Venezuela na sehemu nyingine anasema,katika ngazi ya kimataifa wanaweza kuzungumzia juu ya kutafuta mbinu za kutatua matatizo uwezekano upo,kwa bahati mbaya unakosena utashi wa ndani kwa pande zote za kisiasa.

 

Viongozi wa kidini wasimame kidete kuzuia mauaji ya kimbari!

Viongozi wa kidini wasimame kidete kuzuia mauaji ya kimbari

Viongozi wa kidini wanayo dhamana ya kuzuia mauaji ya kimbari

22/07/2017 14:45

Viongozi wa kidini hawana budi kudumisha misingi ya ukweli, haki na amani mambo msingi yanayohimizwa kwenye Vitabu Vitakatifu vya dini zote. Wajitahidi kung'oa ndago za ukosefu wa haki na amani; vita, ghasia na mipasuko ya kijamii; wawe ni watekelezaji wakuu wa uhuru wa kidini duniani!

Diplomasia ya Vatican inapania kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu; utu, heshima, ustawi na mafao ya wengi.

Diplomasia ya Vatican inapania kulinda na kudumisha haki msingi za binadamu, utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi kwa kuambata: haki, amani na maridhiano kati ya watu!

Diplomasia ya Vatican inapania kudumisha: Haki, amani, utu na heshima

15/07/2017 07:16

Diplomasia ya Vatican inafumbatwa katika Mafundisho Jamii ya Kanisa yanayopania kulinda, kutetea na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu; kwa kusimama kidete kulinda na kutetea haki msingi za binadamu, utu na heshima yake kwani ameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, hali ni mbaya sana Sudan ya Kusini kutokana na ukata na vita ya muda mrefu.

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, hali ya maisha ya ngumu sana Kusini mwa Sudan kutokana na ukata wa serikali uliosababishwa na vita vya muda mrefu!

Kumbu kumbu ya Miaka 6 ya Uhuru wa Sudan ya Kusini! Hali ni tete sana

14/07/2017 15:02

Baraza la Maaskofu Katoliki Sudan linasema, kumbu kumbu ya miaka 6 ya uhuru wa Sudan ya Kusini imejikita zaidi katika mateso na mahangaiko ya watu ambao wameshuhudia haki msingi, utu na heshima ya binadamu vikivurugwa kiasi cha watu kukata tamaa na mwelekeo wa maisha! Amani inahitajika!

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha ili kuwasaidia waathirika wa vita, njaa na ukame wa kutisha Barani Afrika.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linakusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu milioni 25 walioathirika kwa vita, njaa na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia.

Mshikamano wa udugu na upendo kwa watu wanaoteseka kwa njaa Afrika

12/07/2017 10:14

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland kwa kuguswa na mateso pamoja na mahangaiko ya wananchi zaidi ya milioni 25 wanaoteseka kwa baa la njaa, utapiamlo na ukame wa kutisha nchini Kenya, Sudan ya Kusini, Somalia na Ethiopia limeamua kuchangisha fedha ili kuokoa maisha ya watu hawa wanaoteseka!

Papa akutana na kuzungumza na Mfalme Wille Alexander na Malkia Màxima.

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Mfalme Wille Alexander na Malkia Màxima.

Papa Francisko asema, kuna haja ya kujikita katika ujenzi wa amani

22/06/2017 17:39

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kujielekeza zaidi katika ujenzi na uimarishaji wa misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu, hasa zaidi katika maeneo ambayo yameathirika kwa vita, ghasia na mipasuko ya kijamii na kisiasa. 

Baba Mtakatifu Francisko amezindua mradi wa mshikamano na Sudan ya Kusini ili kuonesha uwepo wake wa karibu na watu hawa.

Baba Mtakatifu Francisko amezindua mradi wa mshikamano na watu wa Sudan ya Kusini ili kuonesha uwepo wake wa karibu na watu hawa wanaoteseka kutoka na vita, njaa na ukame wa kutisha.

Papa Francisko asema, bado anajipanga, lakini Sudan iko moyoni mwake!

22/06/2017 17:07

Baba Mtakatifu Francisko alikuwa anatarajia kufanya hija ya kitume nchini Sudan ya Kusini Mwezi Oktoba, 2017, lakini hali na mazingira bado si shwari sana kuweza kufanikisha hija hii ya kitume! Baba Mtakatifu anakaza kusema, lakini bado anaendelea kuitunza moyoni mwake!

Papa Francisko anawaalika vijana kujitahidi kukutana na Kristo Yesu katika maisha yao ili awagange na kuwaponya katika mahangaiko yao.

Papa Francisko anawaalika vijana wa kizazi kipya kujitahidi kukutana na Kristo Yesu katika hija ya maisha yao ili aweze kuwaganga na kuwaponya katika shida na mahangaiko yao.

Wosia wa Baba Mtakatifu Francisko kwa vijana wa kizazi kipya!

28/05/2017 13:44

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana wa kizazi kipya kujenga na kudumishaz utamaduni wa sala, tafakari na matendo ya huruma kwa jirani zao! Ikiwa kama kweli wanataka kuwa ni wamissionari wanapaswa kuwapenda, kuwathamini na kujisadaka kwa ajili ya vijana wenzao wenye shida na mateso!

Vita