Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utumwa

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!

Binadamu leo hii anaendelea kuteswa kwa njia za ukoloni wa utamaduni, vita na utumwa unaotokana na ibilisi

Binadamu leo hii anaendelea kuteswa kwa njia za ukoloni wa utamaduni, vita na utumwa unaotokana na ibilisi

Papa: ibilisi anaharibu hadhi na kusababisha njaa na utumwa!

01/06/2018 15:53

Tarehe 1 Juni 2018, Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha Misa Takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican, ambapo wakati wa mahubiri yake amejikita kutafakari juu ya kuteswa kwa wakristo ambao kila binadamu leo anaendelea kuteswa katika ukoloni wa utamaduni,vita na utumwa wa ibilisi

 

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawawezeshe waamini kuvua utu wake uliochakaa kwa dhambi kwa kujivika utu mpya na kuanza kutembea katika Mwanga!

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawawezeshe waamini kuuvua utu wake uliochakaa kutokana na dhambi na kumvaa Kristo Yesu, Mfufuka ili kuanza kutembea katika neema ya utakaso!

Fumbo la Pasaka liwaletee uhuru kamili, haki, amani, upendo na ustawi

31/03/2018 12:35

Maadhimisho ya Fumbo la Pasaka yawe ni nyenzo muhimu ya kuwavusha waamini na watu wote wenye mapenzi mema kutoka katika utu wa kale, fikra, dhambi, uchu wa mali na madaraka; utumwa mamboleo, ufisadi na rushwa tayari kuambata uhuru kamili, haki, amani, upendo na mshikamano wa kweli!

Ni muhimu  kutunza alama za faraja  na kutunza kumbukumbu zake, kama vile watu wa Israeli walivyotunza wakati wamekombolewa kutoka utumwani.

Ni muhimu kutunza alama za faraja na kutunza kumbukumbu zake, kama vile watu wa Israeli walivyotunza wakati wamekombolewa kutoka utumwani.

Faraja ni kama Injini ya kusukuma matumaini kwenda mbele katika maisha

25/09/2017 16:22

Inahitajika kuwa na subira ya tukio la faraja kwa unyenyenyekevu kama vile matumaini ambayo daima ni kidogo lakini wakati mwingine ni yenye nguvu kwani hujificha ndani kama vile moto chini ya majivu.Hivyo Mkristo anayeshi na hamu ya kukutana na Mungu,anavutwa na faraja ya kukutana na Mungu

 

Biashara haramu ya binadamu na mifumo yote ya utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu!

Biashara haramu ya binadamu na mifumo yote ya utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura namfano wa Mungu.

Papa Francisko: Biashara ya binadamu na utumwa mamboleo ni uhalifu!

31/07/2017 08:59

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wadau mbali mbali kusimama kidete kupinga na hatimaye kukomesha kabisa biashara ya binadamu na mifumo yote uìya utumwa mamboleo kwani huu ni uhalifu dhidi ya utu wa binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Watu wasiifanye kuwa ni mazoea!

Biashara haramu ya binadamu ni dhihaka kwa utu wa binadamu

Biashara haramu ya binadamu ni dhihaka kwa utu wa binadamu

Kardinali Nichols ahutubia Bunge la Lithuani dhidi ya utumwa mamboleo

27/06/2017 13:58

Kardinali Vincent Nichols, Rais wa kikundi cha Mt. Martha, ahutubia Bunge la Lithuani na kuwatia moyo wajumbe katika mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo. Ushirikiano kati ya Kanisa na vyombo vya usalama ujengwe katika uaminifu.