Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utume wa Kinabii

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu

Mnaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu

13/07/2018 17:15

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanasema, Kanisa linalosafiri duniani, kwa tabia yake ni la kimisionari, sababu limepata asili yake katika Fumbo la Utatu Mtakatifu kadiri ya azimio la Mungu Baba, kiini cha huruma, upendo na mshikamano wa dhati ili kuyatakatifuza malimwengu, wito muhimu!

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini linaanza tangu tarehe 9-14 Julai 2018 huko Bolivia.

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini linaanza tarehe 9 -14 Julai 2018 huko Bolivia.

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini laanza kuwasha moto Bolivia

09/07/2018 15:48

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Kongamano la VI la Kimisionari Amerika ya Kusini anawakilishwa na Kardinali Fernando Filoni na kauli mbiu ya kongamano hili ni " Furaha ya Injili, kiini cha utume wa kinabii, chemchemi ya upatanisho Amerika ya Kusini."