Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utu na heshima ya binadamu!

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

Wakimbizi na wahamiaji: Usalama, utu, heshima na haki zao msingi!

20/07/2018 10:39

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujikita katika kutafuta kiini cha wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani, ili kuweza kuibua mbinu mkakati utakaosaidia kwanza kabisa: kulinda na kudumisha: usalama, utu, heshima na haki msingi za wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia!

Papa Francisko asema vita ni dhambi ya mauti inayowatafuna watu huko Mashariki ya Kati!

Papa Francisko asema, vita ni dhambi ya mauti inayowatafuna watu huko Mashariki ya Kati!

Papa Francisko: Kilio cha familia ya Mungu Mashariki ya Kati ni kikali

26/06/2018 06:36

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kusema, leo hii Mashariki ya Kati inateseka na kuendelea kulia kwa uchungu, kiasi kwamba, kwa baadhi ya wakuu wa Jumuiya ya Kimataifa, Mashariki ya Kati, si tena kipaumbele katika sera na mikakati yao ya kitamaduni, kiimani wala kisiasa! Nimateso tupu!

Papa Francisko: Utunzaji bora wa mazingira ni dhamana na wajibu wa kila binadamu. wote

Papa Francisko asema. utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote ni dhamana na wajibu wa kila mtu.

Papa Francisko: Mediterrania imegeuka kaburi la wakimbizi na wahamiaji

07/06/2018 10:49

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kusema kwamba, pamoja na uzuri wote wa Bahari ya Mediteraniani, lakini sasa imegeuka kuwa ni kaburi lisilo na alama kwa wahamiaji na wakimbizi. Uchafu na uharibifu wa mazingira ni dalili za kukengeuka kwa mwanadamu katika imani, maadili na utu wema!

 

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, majadiliano ni muhimu sana kama sehemu ya mchakato wa kukabiliana na changamoto mamboleo.

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, majadiliano ni muhimu sana katika kukabiliana na changamoto mamboleo.

Majadiliano ni nyenzo msingi katika kukabiliana na changamoto mamboleo

29/05/2018 08:04

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, majadiliano ya kidini na kiekumene; Kijamii na kitamaduni ni njia muhimu sana ya kujenga na kudumisha mahusiano na mafungamano ya kijamii kama mbinu mkakati wa Jumuiya ya Kimataifa katika kupambana na changamoto mamboleo!

Papa Francisko asema, majanga na maafa makubwa yanayomkumba mwanadamu ni matokeo ya kuporomoka kwa kanuni maadili na utu wema.

Papa Francisko asema, majanga na maafa yanayoendelea kumwandama mwanadamu ni matokeo ya kuporomoka kwa kanuni maadili na utu wema.

Papa: Kuporomoka kwa kanuni maadili na utu wema ni chanzo cha majanga

26/05/2018 15:23

Baba Mtakatifu Francisko anasema kwamba, kuporomoka kwa kanuni maadili na utu wema ni chanzo cha majanga na maafa makubwa yanayoendelea kumkumba mwanadamu katika ulimwengu mamboleo. Haya yote yanapata chimbuko lake katika ubinafsi, uchoyo, faida kubwa kwa gharama ya utu!

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda na kiekumene!

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda ya kiekumene.

Patriaki Bartolomeo wa kwanza: Mafao ya wengi ni ajenda ya kiekumene

26/05/2018 14:55

Patriaki Bartolomeo wa kwanza anasema, mafao ya wengi ni ajenda ya pamoja kwa wakristo wote ili kusaidia maboresho katika sekta ya uchumi na ekolojia; sayansi na teknolojia; jamii na siasa; kwa kusimama kidete: kulinda na kutetea utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi!

Benki ya Vatican, IOR inaendelea kuimarisha huduma yake katika mchakato wa uinjilishaji sehemu mbali mbali za dunia.

Benki ya Vatican, IOR inaendelea kujizatiti katika mchakato wa huduma ya uinjilishaji.

Benki ya Vatican yaendelea kujiimarisha zaidi katika huduma makini!

25/05/2018 06:59

Benki ya Vatican maarufu kama IOR kwenye taarifa yake ya fedha kwa mwaka 2017 inaonesha kwamba, inaendelea kuimarisha huduma yake kama chombo muhimu sana cha utekelezaji sera na mikakati ya shughuli za uinjilishaji, utu, heshima, ustawi na maendeleo ya wengi yakipewa kipaumbele cha kwanza!

22 Mei nchini Nigeria wamefanya maandamani ya amani na mshikamano na Wakristo

22 Mei nchini Nigeria wamefanya maandamani ya amani na mshikamano na Wakristo

Nchini Nigeria wamefanya maandamano ya mshikamano na wakristo!

23/05/2018 13:42

Katika  nchini Nigeria hali halisi ya nchi siyo nzuri  kabisa kutokana na matukio mabaya dhidhi ya binadamu.Kutokana na matukio hayo Baraza la Maaskofu wa nchi hiyo tarehe 22 Mei 2018 wamehitisha na kufanya  maandamano ya amani  na mshikamano ili  kupinga  kila aina za vurugu dhidi ya wakristo