Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utii

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma katika taasisi za kipapa mjini Roma tarehe 16 machi 2018

Makuhani wawe na mahusiano kati yao na waongozwe na Roho Mtakatifu

16/03/2018 17:30

Papa Francisko amekutana na waseminari na mapadre wanaosoma taasisi za Kipapa mjini Roma na kuzungumza nao tarehe 16 Machi 2018.Katika mazungumzo yao amehimiza wawe na mang'amuzi,kusali mbele ya Mungu,kuwa na mahusiano na Askofu,kati yao na waamini,pia furaha

 

Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha utii na utimilifu na mwanzo wa Agano Jipya na la milele!

Kristo Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha hali ya juu kabisa cha utii kwa Baba yake wa mbinguni, mwanzo wa Agano Jipya na la milele.

Kristo Yesu akishakuinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake!

13/03/2018 14:46

Saa ya Kristo Yesu kadiri ya mafundisho ya Mwinjili  Yohane ni Fumbo la Pasaka, yaani: Mateso, Kifo na Ufufuko wa Kristo unaomkirimia mwanadamu ukombozi. Hiki ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha Utii kwa Baba yake wa milele na utimilifu wa Agano Jipya na la Milele linalofumbata Sadaka yake!

 

Yesu Kristo ni kielelezo cha utii unaofumbatwa katika Fumbo la Umwilisho linalotimilika katika Fumbo la Pasaka: yaani: mateso, kifo na ufufuko  wake.

Yesu Kristo ni kielelezo cha utii unaofumbatwa katika Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wake ili kumkomboa binadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Utii wa kweli unafumbatwa katika: uhuru, upendo na matendo!

27/09/2017 13:54

Liturujia ya Neno la Mungu inatuwekea mbele ya macho yetu haki ya Mungu na hukumu zake; unyenyekevu wa Kristo Yesu katika Fumbo la Umwilisho linalopata utumilifu wake katika Fumbo la Pasaka, yaani: mateso, kifo na ufufuko wake. Waamini wanahimizwa kumwilisha maneno katika matendo mema!

Kristo Yesu ni kielelezo cha utii wa Baba yake wa mbinguni, sheria na wazazi wake na hatima yake ni kifo cha Msalaba, chemchemi ya baraka ya Mungu.

Kristo Yesu ni kielelezo cha utii kwa Baba yake wa mbinguni, sheria na wazazi wake! Matunda ya utii huu ni mateso, kifo na ufufuko wa Kristo chemchemi ya neema na baraka ya Mungu kwa binadamu!

Utii unamwilishwa katika ukweli na matendo!

27/09/2017 13:08

Kristo Yesu, Mwana wa Mungu aliye hai, aliona uchungu wa kifo, ambayo ni hali halisi ya kibinadamu. Lakini, licha ya uchungu wake mbele ye kifo, alikipokea kama tendo kamili na huru la kujiweka chini ya mapenzi ya Baba yake wa mbinguni. Utii wa Yesu uligeuza laana kifo kuwa baraka!

 

Mwenyeheri John Sullivan ni kielelezo cha wongofu wa Kikristo na Maisha ya kitawa!

Mwenyeheri John Sullivan ni kielelezo na shuhuda wa wongofu wa maisha ya Kikristo na Kitawa!

Mwenyeheri John Sullivan: Shuhuda wa wongofu wa kikristo na Kitawa

12/05/2017 12:33

Mwenyeheri John Sullivan, SJ. aliishi kati ya Mwaka 1861 hadi mwaka 1933; akaongoka kutoka katika Kanisa Anglikani na kuingiza Kanisa Katoliki; kwa neema na baraka ya Mungu akapata utimilifu wa wongofu wake kwa kujisadaka katika maisha ya kitawa ndani ya Shirika la Wayesuit!

Kwaresima ni kipindi cha matumaini, imani, toba na wongofu wa ndani!

Kwaresima ni hija ya matumaini, imani, mapendo, toba na wongofu wa ndani!

Kwaresima ni kipindi cha matumaini, imani, toba na wongofu wa ndani

01/03/2017 11:56

Kwaresima ni safari ya matumaini ya siku 40 kutoka katika jangwa la maisha ya dhambi na mauti kuelekea katika maadhimisho ya Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu kwa njia ya: toba, wongofu wa ndani; maadhimisho ya Sakramenti za Kanisa, tafakari na matendo ya huruma.

Baba Mtakatifu Francisko akisikiliza risala ya watawa Kenya

Baba Mtakatifu Francisko akisikiliza risala ya watawa nchini Kenya.

Historia fupi ya maisha ya kitawa ndani ya Kanisa!

30/11/2015 15:27

Katika makala ya Hazina Yetu, Padre Pambo Martin Mkorwe, OSB anapembua kwa kina na mapana historia ya maisha ya kitawa ndani ya Kanisa kama sehemu ya maadhimisho ya Mwaka wa Watawa Duniani.

Mwaka wa Watawa Duniani: Uzito wa maisha na utume wa watawa duniani!

Mwaka wa Watawa Duniani: Uzito wa maisha na utume wa watawa duniani.

Mwaka wa Watawa Duniani: Uzito wa maisha ya kitawa na utume wake!

23/11/2015 15:02

Mama Kanisa anaendelea kuadhimisha Mwaka wa Watawa Duniani, leo katika Makala haya, Padre Pambo anachambua ukuu wa maisha ya kitawa na utume wake ndani ya Kanisa: kwa kuangalia nadhiri, huduma na wingi wa Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume, zawadi ya Roho Mt. kwa Kanisa.

Utii