Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utangulizi wa Sinodi ya Vijana 2018

Papa Francisko amewateua Marais wawakilishi wakati wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, 2018

Papa Francisko amewateuwa Maraia wawakilishi wakati wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana.

Papa Francisko ateuwa Marais wawakilishi wa Sinodi ya Vijana 2018

14/07/2018 16:13

Baba Mtakatifu Francisko amewateuwa Makardinali wanne kuwa ni Marais wawakilishi wakati wa Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana itakayoadhimishwa hapa mjini Vatican mwezi Oktoba 2018 kama sehemu ya mbinu mkakati wa Mama Kanisa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana.

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani.

Papa Francisko kutembelea Panama kuanzia tarehe 23.27 Januari 2019 ili kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Papa Francisko kushiriki Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani 2019 Panama

10/07/2018 09:35

Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko kutoka kwa viongozi wa Serikali ya Panama pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Panama na kwamba, atakuwepo nchini humo kuanzia tarehe 23-27 Januari 2019 ili kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya XXXIV ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2019.

Yaliyojiri wakati wa mahojiano kati ya Papa Francisko na Waandishi wa Habari wakiwa njiani kutoka Geneva, Uswiss, 21 Juni 2018.

Yaliyojiri katika mahojiano maalum kati ya Papa Francisko na waandishi wa habari wakati akiwa njiani kutoka Geneva Uswiss, tarehe 21 Juni 2018.

Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Papa Francisko na Wanahabari!

23/06/2018 16:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hija yake ya kiekumene nchini Uswiss imemwezesha kukutana na viongozi mbali mbali wa Kanisa wanaoendelea kujizatiti kwa ajili ya mchakato wa majadiliano ya kiekumene yanayofumbatwa katika kutembea, kusali na kushirikiana kama ushuhuda wa uinjilishaji mpya!

Papa Francisko anawataka vijana kutambua uwepo endelevu wa Kristo kati yao; kudumisha umoja na kushiriki utume na maisha ya Kanisa.

Papa Francisko anawataka vijana kutambua uwepo endelevu wa Kristo kati yao, kujenga na kudumisha umoja na mshikamano na Kristo Yesu pamoja na kushiriki kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa wa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu hadi miisho ya dunia.

Papa Francisko: Vijana dumisheni uwepo wa Kristo; Umoja na Utume!

28/05/2018 08:08

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana kutambua na kuenzi uwepo endelevu wa Kristo Yesu katika historia na maisha yao; wajenge na kudumisha umoja na mshikamano kwa kutambua kwamba, hata wao wameitwa na wanatumwa na Kristo Yesu kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili kwa walimwengu!

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko anasema, utakatifu wa maisha daima unalipyaisha Kanisa.

Papa Francisko: Utakatifu wa maisha unalipyaisha Kanisa!

12/05/2018 17:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wakati huu Mama Kanisa anapoendelea na maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, anawataka vijana kukumbataia na kuambaya utakatifu wa maisha kwani utakatifu ndio unaoliwezesha Kanisa kuendelea kuonekana kama kijana daima!

Maandalizi ya Sinodi ya Vijana yanaendelea kushika kasi hata Barani Afrika.

Maandalizi ya Sinodi ya vijana yanaendelea kushika kasi hata Barani Afrika. Ni wakati kwa viongozi wa Kanisa kujenga utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya!

Maandalizi ya Sinodi ya Vijana yanazidi kupamba moto Barani Afrika

30/04/2018 08:15

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa mwezi Oktoba 2018 mjini Vatican yanaendelea kupamba moto sehemu mbli mbali za Bara la Afrika kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza na kuwatahamini vijana katika utume wa Kanisa!

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yaanza kushika kasi mjini Vatican.

Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yaanza kushika kasi!

13/04/2018 15:23

Maandalizi ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itakayofanyika mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa ajili ya ekolojia endelevu" yameanza kutimua vumbi mjini Vatican kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko!

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Vijana!

Vijana wa kizazi kipya kutoka Afrika wanashirikisha yale yaliyojiri katika utangulizi wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana!

Vijana wa Bara la Afrika wanapembua mchakato wa Sinodi ya Vijana!

05/04/2018 07:52

Vijana walioshiriki katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa kukutana, kuzungumza na kusali pamoja na Baba Mtakatifu Francisko wanasema, ni hatua kubwa sana katika mchakato wa ujenzi wa utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza, kuwashirikisha na kuwasindikiza!