Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utamadunisho

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia inalitaka Kanisa; Kuona, Kung'amua na Kutenda.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia, inalitaka Kanisa: Kuona, Kung'amua na Kutenda kwa ari na moyo mkuu.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia: Kuona, Kung'amua na Kutenda

09/06/2018 15:50

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia yatakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba 2019 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Amazonia: njia mpya ya Kanisa na kwa jili ya ekolojia endelevu". Hati ya maandalizi ya Sinodi ya Amazonia inakazia umuhimu wa: kuona, kung'amua na kutenda!

Askofu mkuu Rastislav akazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho katika majadiliano ya kiekumene.

Askofu mkuu Rastislav akazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu kama njia ya kumtambua Kristo Yesu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho.

Askofu mkuu Rastilav akutana na kuzungumza na Papa Francisko!

11/05/2018 15:03

Askofu mkuu Rastilav wa Jimbo kuu la Presov, Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kiorthodox wa nchi ya Czech na Slovakia katika hotuba yake amekazia umuhimu wa Maandiko Matakatifu, Mapokeo ya Kanisa na Utamadunisho kama njia muafaka za kuendeleza majadiliano ya kiekumene kati ya Wakristo!

Papa Francisko majadiliano ya kiekumene yanafumbatwa katika utakatifu, uinjilishaji na utamadunisho.

Papa Francisko: majadiliano ya kiekumene yanafumbatwa katika utakatifu, uinjilishaji na utamadunisho.

Papa Francisko mambo msingi: Utakatifu, Uinjilishaji na Utamadunisho

11/05/2018 14:45

Baba Mtakatifu Francisko anasema, majadiliano ya kiekumene hayana budi kujikita katika utakatifu wa maisha, ushuhuda wa uinjilishaji unaowawezesha wakristo kupambana na changamoto mbali mbali za maisha pamoja na utamadunisho ili kweli Injili ya Kristo iweze kuenea kwa watu.

Mheshimiwa Abate Mstaafu Alcuin Maurus Nyirenda, OSB ametetea kazi yake ya shahada ya uzamivu, Chuo Kikuu cha Kipapa la Urbaniana.

Mheshimiwa Abate Mstaafu Alcuin Maurus Nyirenda, OSB ametetea kazi yake ya uzamivu Chuo Kikuu cha Kipapa la Urbaniana, kilichoko mjini Roma.

Abate mstaafu Alcuin Maurus Nyirenda, OSB aibuka kidedea!

04/05/2018 14:28

Mheshimiwa sana Abate Mstaafu Alcuin Maurus Nyirenda, OSB kutoka Monasteri ya Hanga, Jimbo kuu la Songea, Tanzania kwa utulivu, hali ya kujiamini huku akiwa amebeba uzoefu na mang'amuzi ya maisha na kimonaki, ametetea kazi yake kwa ufundi mkubwa kiasi cha Jopo la Maprofesa kushika tama!

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji katika ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni ni mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji kwa ajili ya ukanda huu.

Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia 2019 ni mbinu mkakati wa uchungaji

30/04/2018 07:54

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazoni kwa mwaka 2019 yanapania kuibua mbinu mkakati wa shughuli za kichungaji zinazofumbatwa katika: uinjilishaji na utamadunisho; ekolojia na utunzaji bora wa mazingira; utu, haki msingi za binadamu na mendeleo endelevu.

Wajumbe wa Sinodi ya Maaskofu wa Amazonia wamepitisha "Hati ya Maandalizi ya Sinodi" ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia.

Wajumbe wa Sinodi ya Maakofu Ukanda wa Amazonia wamepitisha "Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia.

Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Amazonia yapitishwa na Sekretarieti

14/04/2018 16:07

Wajumbe washauri wa maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Ukanda wa Amazonia, baada ya mkutano wao wa awali tangu tarehe 12-13 Aprili 2018 uliohudhuriwa pia na Baba Mtakatifu Francisko wamepitisha kwa kauli moja "Hati ya Maandalizi ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Amazonia.

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia kwa mwaka 2019 itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Maaskofu Ukanda wa Amazonia itaongozwa na kauli mbiu "Amazonia: Njia Mpya ya Kanisa na kwa ajili ya Ekolojia Endelevu".

Sinodi ya Amazonia: Njia mpya ya Kanisa kwa ajili ya ekolojia endelevu

09/04/2018 14:50

Baba Mtakatifu Francisko analitaka Kanisa kujikita katika masuala ya haki, amani na mshikamano; utume na huduma ya upendo, ili kuhakikisha kwamba, Injili ya Kristo inatamadunishwa katika uhalisia wa maisha ya wananchi wa Amazonia, ili Kanisa liweze kupaya sura mpya ya watu wa Amazonia!

Mchakato wa uinjilishaji mpya nchini India unafumbatwa katika Neno la Mungu, majadiliano ya kidini na kiekumene na ushuhuda wa maisha.

Mchakato wa uinjilishaji mpya nchini India unafumbatwa katika tafakari ya Neno la Mungu, majadiliano ya kidini na kiekumene, utamadunisho na ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Mchakato wa uinjilishaji mpya India unaojikita katika Neno la Mungu

23/03/2018 14:37

Mchakato wa uinjilishaji mpya nchini India hauna budi kusimikwa kwanza kabisa katika kusoma, kulitafakari na hatimaye kulimwilisha Neno la Mungu katika uhalisia wa maisha ya waamini. Pili ni kukuza na majadiliano ya kidini na kiekumene ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano.