Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utamaduni wa kusikiliza kwa makini

Kanisa Barani Afrika halina budi kujizatiti katika uinjilishaji mpya unaojikita kwenye ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Kanisa Barani Afrika halina budi kuwekeza katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko ili kuimarisha haki, amani na maridhiano kati ya watu!

AMECEA lindeni: Haki na Amani; Changamkieni Uinjilishaji mpya!

22/07/2018 14:58

Mababa wa AMECEA wametakiwa kuwekeza katika mchakato wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko, ili kuhakikisha kwamba, kweli Kanisa linaendelea kuwa ni chombo na shuhuda wa misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu Barani Afrika.

Amani ndiyo habari ya kweli inayomlenga mtu mzima: ili kumjengea uwezo wa kusikiliza na kujadiliana katika ukweli na uwazi.

Papa Frabcisko anasema, amani ndiyo habari ya kweli inayomlenga mtu mzima ili kumjengea uwezo wa kusikilizana na kujadiliana katika ukweli na uwazi, kwa kuvutwa na wema na uzuri ili kuwajibika barabara.

Papa Francisko anasema, amani ndiyo habari yenyewe! Idumisheni!

12/05/2018 17:17

Baba Mtakatifu Francisko anasema wadau katika tasnia ya mawasiliano ya jamii wanao wajibu na utume mzito wa kulinda ukweli wa habari kwa kutambua kwamba, mlengwa mkuu ni binadamu mwenyewe. Habari iguse maisha ya watu, idumishe wema na uaminifu, ili kufungua njia ya umoja na amani.

Mapadre waungamishaji ni vyombo vya huruma, wakuze sanaa na utamaduni wa kusikiliza kwa makini ili kusaidia mang'amuzi ya miito!

Mapadre waungamishaji ni vyombo vya huruma na upendo wa Mungu, wanapaswa kukuza sanaa na utamaduni wa kusikiliza kwa makini ili kusaidia mang'amuzi ya miito mbali mbali miongoni mwa vijana.

Mapadre waungamishaji ninyi ni vyombo, sikilizeni na toeni mang'amuzi

09/03/2018 14:55

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika Mapadre waungamishaji kutambua kwamba, wao ni vyombo vya huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, wajenge na kudumisha sanaa na utamaduni wa kusikiliza kabla ya kutoa majibu, ili kusaidia mang'amuzi ya miito wakati wa maungamo!

Utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ni sehemu ya mchakato wa ujenzi wa utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana!

Utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ni sehemu ya mchakato wa Kanisa wa ujenzi wa utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao hapa duniani.

Kardinali Baldisseri: Sinodi ya Vijana 2018 ni moto wa kuotea mbali!

06/03/2018 07:27

Baba Mtakatifu Francisko anasema, umefika wakati kwa Kanisa kujenga na kudumisha utamaduni wa kuwasikiliza vijana, ili kuwasindikiza katika hija ya maisha yao hapa duniani sanjari na kuwajengea ari na moyo wa kujiamini, ili hatimaye, waweze kuwa ni mashuhuda wa Injili ya matumaini duniani!

Papa Francisko: Jengeni utamaduni wa kusikiliza na kukutana na watu, ili kuwaonjesha furaha ya Injili!

Papa Francisko: Jengeni utamaduni wa kukutana na watu ili kuwaonjesha furaha ya Injili!

Jengeni utamaduni wa kusikiliza kwa makini, ili mtende kwa haki!

28/12/2017 07:31

Baba Mtakatifu Francisko anaitaka familia ya Mungu kujenga utamaduni wa kusikiliza na kusikilizana kwa makini, ili kuguswa na mahangaiko ya jirani, tayari kujibu kilio na mahangaiko haya kwa njia ya ushuhuda wa haki, amani, upendo na mshikamano; nguzo thabiti za haki msingi za binadamu!

Kugeuka Sura kwa Bwana: Utimilifu wa Sheria na Unabii: Ushuhuda wa Imani katika Fumbo la Pasaka.

Kugeuka Sura kwa Bwana: Utimilifu wa Sheria na Unabii. Ni ushuhuda wa Fumbo la Pasaka, yaani nyuma ya Msalaba kuna ukuu, utukufu na utakatifu wa Mungu.

Utukufu na ukuu wa Mungu unaofumbatwa kwenye Fumbo la Msalaba!

05/08/2017 06:43

Sherehe ya Kungara kwa Bwana wetu Yesu Kristo ni mwaliko wa kumsikiliza kwa makini na kutekeleza mapenzi ya Mungu katika maisha. Huu ni ushuhuda wa utimilifu wa Sheria na Unabii ambao Yesu anapenda kuutumia ili kuwaimarisha mitume wake katika imani ili kukabiliana vyema na Fumbo la Msalaba!

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwajengea vijana wao moyo wa kuota ndoto na kuwa na shukrani pamoja na kukuza kipaji cha ubunifu.

Papa Francisko anawataka wazazi na walezi kuwapatia vijana wao fursa ya kuota ndoto ili kujenga moyo wa shukrani na kukuza kipaji cha ubinifu.

Papa Francisko: Vijana tambueni na kusherehekea maisha!

05/07/2017 15:54

Baba Mtakatifu Francisko anasema, shule ni mahali pa kuwafunda vijana wa kizazi kipya maana ya maisha ya kujiweka wazi kwa wale wasiowafahamu, ili kuchanganyika na hatimaye kufuatilia mbalikabisa maamuzi mbele ambayo ni chanzo cha kinzani, mipasuko ya kijamii na hatimaye vita!