Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utamaduni wa kifo

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Maaskofu Poland wawapongeza wabunge kwa kusitisha utoaji mimba!

20/03/2018 12:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linaipongeza familia ya Mungu nchini humo kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo uliotaka kuhalalishwa kwa njia ya muswada wa sheria ya utoaji mimba! Huu ulikuwa ni ukiukwaji wa haki msingi za binadamu!

Wawakilishi wa vijana katika utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya Vijana wametoa ushuhuda wa matatizo, changamoto na matumaini yao!

Wawakilishi wa vijana katika maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana wametoa matatizo, changamoto, fursa na matumaini yao kutoka katika Jamii na Kanisa katika ujumla wake.

Sinodi ya Vijana: Ushuhuda: kilio, changamoto na matumaini ya vijana

20/03/2018 10:32

Utangulizi wa maadhimisho ya Sinodi ya Vijana itakayoadhimishwa na Mama Kanisa mwezi Oktoba, 2018 umekuwa ni fursa kwa wawakilishi wa vijana kutoa kilio cha matatizo, changamoto na matumaini wanayoyatarajia kutoka katika Jamii na Kanisa katika ujumla wake, kwa kuwajali na kuwathamini!

Mama Kanisa anapenda kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwawezesha vijana kufanya maamuzi mazito katika maisha yao!

Mama Kanisa anapenda kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwawezesha vijana ili kufanya maamuzi mazito katika maisha na wito wao kwa upendo ili waweze kupata utimilifu wa maisha!

Papa Francisko awataka vijana kushirikisha yale yaliyomo ndani mwao!

19/03/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kila mtu anayo haki ya kuzungumza na kusikilizwa kwa makini; katika hali ya unyenyekevu na uvumilivu. Maadhimisho ya Siodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana ni muda muafaka wa kujenga utamaduni na sanaa ya kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha!

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & Oscar Romero kutangazwa watakatifu mwaka 2018

12/03/2018 12:02

Wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kujizatiti zaidi katika kuimarisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Mwenyeheri Paulo VI aliyesimama kidete kutangaza Injili ya uhai pamoja na Askofu mkuu Oscar Romero watangazwe kuwa watakatifu mwaka 2018

Umoja wa Mataifa unasema, zaidi ya watoto milioni 535 katika kipindi cha mwaka 2017 wameathirika kwa vita, kinzani na mabadiliko ya tabianchi.

Umoja wa Mataifa unasema, katika kipindi cha mwaka 2017 zaidi ya watoto 535 wameathirika kutokana na vita, kinzani na mabadiliko ya tabianchi sehemu mbali mbali za dunia.

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kulinda utu na haki msingi za watoto

06/03/2018 14:30

Taarifa za Umoja wa Mataifa zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2017 zaidi ya watoto milioni 535 wameathirika kutokana na vita, kinzani mbali mbali pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zimewafanya wengi wao kujikuta wakiwa ni wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali duniani.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila zinazopandikiza utamaduni wa kifo.

Ng'oeni ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya kifo!

22/02/2018 15:38

Viongozi wa Makanisa nchini Ethiopia wanaitaka familia ya Mungu nchini humo, kujizatiti zaidi katika kung'oa ndago za ukabila unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo. Huu ni wakati wa kuhakikisha kwamba watoto wanarithishwa: umoja, upendo, mshikamano na udugu, kwani wote ni Waethiopia.

Baraza la Maaskofu Katoliki DRC linataka: uhuru, usalama na demokrasia ya kweli!

Baraza la Maaskofu Katoliki DRC linaitaka Serikali iliyoko madarakani kuhakikisha kwamba, watu wanakuwa na uhuru wa kujieleza, wanapatiwa ulinzi na usalama wa maisha na mali zao pamoja na kuwa na demokrasia inayozingatia utawala wa sheria.

Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki DRC: Uhuru, Usalama & Demokrasia

21/02/2018 07:20

Baraza la Maaskofu Katoliki DRC katika tamko lake kuhusu hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini mwao, linapenda kukazia kwa namna ya pekee kabisa uhuru wa watu kujieleza kama sehemu ya haki zao msingi; ulinzi na usalama wa raia na mali zao pamoja na demokrasia inayoheshimu utawala wa sheria.

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wao!

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Wahudumu wa afya wawe ni mashuhuda wa huruma, imani na mapendo!

17/02/2018 07:10

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo na imani kwa wagonjwa na maskini wanaowahudumia kama kielelezo cha mwendelezo wa kazi ya ukombozi iliyoanzishwa na Kristo Yesu kwa Njia ya Msalaba.