Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utamaduni wa amani

Diplomasia ya Vatican inajikita katika utu, heshima, ustawi, haki, amani na maendeleo ya wengi

Diplomasia ya Vatican inajikita katika utu, heshima, ustawi, maendeleo; haki, amani , upendo na mshikamano.

Diplomasia ya Vatican inasimikwa katika haki, amani, utu na heshima!

14/07/2018 16:28

Baba Mtakatifu Francisko anasema, diplomasia ya Vatican kimsingi inajikita katika: haki, amani, upendo na mshikamano; utu, heshima na haki msingi za binadamu; Ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.  Familia ya binadamu haina budi kujenga madaraja ya watu kukutana, ili kudumisha haki na amani.

Sinodi ya Maaskofu kuhusu Amazoni ni lazima kutafuta mbinu za kuweza kuinjilisha vema watu wa asili pamoja na utetezi wa mazingira yao ikiwemo misitu

Sinodi ya Maaskofu kuhusu Amazoni ni lazima kutafuta mbinu za kuweza kuinjilisha vema watu wa asili pamoja na utetezi wa mazingira yao ikiwemo misitu yao.

Sinodi ya Maaskofu 2019 lazima ipate ufumbuzi wa Uinjilishaji Amazonia

07/05/2018 13:51

Kwa mujibu wa Askofu Jose Lisboa de Oliveira msimamizi wa kitume wa Itacoatiara, huko Amzoni  Brazil aliyefika kwa mara ya kwanza Julai 2017 akihojiwa juu ya utume wake anasema, yuko anajaribu kuanza kuijua hali halisi ya Amazoni. Anathibitisha na kuonesha changamoto za uinjilishaji wake

 

Kardinali Bechara Rais anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali wazo la vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Bechara Rai anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujikita katika mchakato wa majadiliano na amani huko Mashariki ya kati.

Kardinali Rai: futilieni mbali vita; jengeni utamaduni wa amani!

14/04/2018 15:46

Kardinali Bechara Boutros Rai Patriaki wa Kanisa la Wamaroniti Wakatoliki kutoka Lebanon anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusikiliza kilio cha wananchi wa Mashariki ya Kati wanaoteseka kutoka na vita, ili kufutilia mbali dhana ya vita na kuanza kujenga utamaduni wa amani ya kudumu na mshikamano.

Papa Francisko anawaambia viongozi wa kidini na kisiasa kamwe wasitumie dini kuhalalisha ghasia na maobu jamii.

Papa Francisko anawaambia viongozi wa kidini na kisiasa wasitumie kamwe jina la Mungu kuhalalisha vitendo viovu katika jamii.

Papa Francisko: Msitumie jina la Mungu kuhalalisha ghasia na maovu!

02/02/2018 14:28

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kila mwamini anapaswa kutambua kwamba, Mwenyezi Mungu ni Mtakatifu na kamwe hawezi kuwa ni chanzo cha ubaya, kinzani na mauaji ya watu wengine. Kila kiongozi wa kidini na kisiasa anapaswa kukemea na kulaani kufuru ya kutumia jina la Mungu kwa mambo binafsi.

Vatican inasema, mgogoro wa Korea ya Kaskazini unahitaji maamuzi ya Jumuiya ya Kimataifa na wala si uamuzi wa mtu mmoja!

Vatican inasema, mgogoro wa Korea ya Kaskazini inahitaji maamuzi ya Jumuiya ya Kimataifa na wala si uamuzi wa mtu mmoja.

Mgogoro wa Korea ya Kaskazini unahitaji uamuzi wa Jumuiya ya Kimataifa

25/09/2017 11:09

Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican anasema, diplomasia ya Vatican inajikita katika mchakato wa kujenga na kukuza utamaduni wa haki, amani na maridhiano kati ya watu; haki msingi za binadamu; mafao, ustawi na maendeleo ya wengi mintarafu mafundisho Jamii ya Kanisa na Mwanga wa Injili.

Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal 2017 inasema itaendelea kujizatiti katika huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Afrika.

Caritas Africa katika Tamko la Dakar, Senegal, 2017 inasema, itaendelea kutoa huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu Barani Afrika.

Caritas Africa: Tamko la Dakar, Senegal, 2017

25/09/2017 08:48

Caritas Africa katika Tamko la Dakar la Mwaka 2017 inasema, itaendelea kujikita katika mchakato wa kumwilisha upendo wa Mungu katika huduma makini ya maendeleo endelevu ya binadamu kwani upendo wa Mungu ni kiini cha maisha na utume wa Kanisa. Upendo wa binadamu utimilifu katika upendo wa Mungu.

Vatican yatia sahihi kwenye Mkataba wa Kimataifa unaopiga rufuku silaha za kinyuklia duniani!

Vatican yatia sahihi kwenye Mkataba wa Kimataifa unaopiga rufuku kisheria silaha za kinyuklia.

Vatican yatia sahihi Mkataba wa Kimataifa dhidi ya Silaha za Nyuklia

22/09/2017 15:40

Askofu mkuu Paul Richard Gallagher anasema, Vatican imeamua kutia sahihi kwenye Mkataba wa Kimataifa unaopiga rufuku silaha za kinyuklia unapania kukuza utamaduni wa kulinda na kudumisha amani, mshikamano na maridhiano kati ya watu wa Mataifa sanjari na maendeleo endelevu ya binadamu!