Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utakatifu wa Mapadre

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni Siku maalum ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre!

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre duniani.

Papa Francisko: Jifunzeni upole na unyenyekevu kutoka kwa Kristo Yesu

23/06/2017 16:26

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre, ni mwaliko kwa Wakleri kujifunza kutoka kwa Kristo Yesu, ambaye ni mpole na mnyenyekevu wa moyo ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wake!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini kwa watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini, maisha ya sala, na maadhimisho ya mambo matakatifu.

Kardinali Stella, toeni harufu nzuri ya utakatifu wa maisha kila siku!

21/04/2017 13:16

Mama Kanisa anapenda kuwahamasisha waamini wote, lakini zaidi wakleri kuhakikisha kwamba, kila siku ya maisha yao inapaswa kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha unaojikita katika sala, tafakari ya kina ya Neno la Mungu, huduma na uwajibikaji makini pamoja na maadhimisho ya Sakramenti!

 

Ijumaa ya huruma ya Mungu: Papa Francisko amekutana na Mapadre walioacha Upadre na kuamua maisha mengine.

Ijumaa ya huruma ya Mungu: Papa Francisko amekutana na kuzungumza na Mapadre walioacha wito na huduma ya Kipadre na kuamua kufuata mtindo mwingine wa maisha.

Ijumaa ya Huruma: Papa akutana na Mapadre walioacha Upadre

12/11/2016 08:54

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa pia ni fursa kwa Baba Mtakatifu Francisko kutekeleza matendo ya huruma: kiroho na kimwili katika ratiba yake kadiri ya nafasi. Kwa mwaka mzima amewatembelea wagonjwa, wafungwa, wakimbizi na watu waliokuwa kufani!

Wakleri wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha.

Wakleri wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama chachu ya Uinjilishaji mpya.

Chuchumilieni utakatifu kama chachu ya Uinjilishaji mpya!

17/06/2015 09:59

Wakleri ambao kwa namna ya pekee wamejitosa kimasomaso kumfuasa Kristo wanapaswa kuhakikisha kwamba, wanachukua vyema Msalaba wao, tayari kumwambata Yesu Kristo aliye njia, ukweli na uzima. Wakleri wamempokea Roho Mtakatifu mwaliko wa kuwa kweli ni mashuhuda wenye mvuto na mashiko.

 

Siku kuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu: Utakatifu

Siku kuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu inakwenda sanjari na Siku ya kuombea Utakatifu wa maisha na utume wa Mapadre.

Siku kuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Siku ya kuombea Utakatifu wa Mapadre

10/06/2015 15:32

Mama Kanisa anawaalika watoto wake katika maadhimisho ya Siku kuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, kutafakari kwa kina na mapana huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake na kutumia fursa hii kwa ajili ya kusali ili kuombea utakatifu wa maisha na utume wa Mapadre.

Mafungo ya Kiroho kwa wakleri mjini Roma 2015

Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kutoa tafakari ya kina kuhusu upendo wa Mungu unaowageuza Wakleri ili waweze kuwa ni vyombo vya upendo.

Waamini wanachangamotishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha!

09/06/2015 10:52

Mama Kanisa wakati huu anapojielekeza zaidi na zaidi katika mchakato wa Uinjilishaji mpya, anawataka watoto wake kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kielelezo cha imani tendaji. Changamoto hii ivaliwe njuga na mihimili ya Uinjilishaji mpya.