Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utakatifu wa maisha

Papa Francisko: Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo!

Papa Francisko. Wosia wa kitume: Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu katika ulimwengu mamboleo.

Papa: Wosia wa kitume: Furahini na kushangalia, wito wa utakatifu!

10/04/2018 15:42

Baba Mtakatifu Francisko katika Wosia wake wa Kitume "Gaudete et exsultate" yaani "Furahini na kushangilia, wito wa utakatifu wa maisha, anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kufurahi na kushangilia katika Kristo Yesu, chemchemi ya maisha na furaha ya kweli katika utakatifu!

Watakatifu ni wadhambi waliotubu na kumwongokea Mungu; ni wandani wa safari ya imani, matumaini na mapendo!

Watakatifu ni wadhambi waliotubu na kumwongokea Mungu; ni wandani wa hija ya imani, matumaini na mapendo miongoni mwa watu wa Mungu.

Papa Francisko: wito wa utakatifu wa maisha katika ulimwengu mamboleo

07/04/2018 10:27

Baba Mtakatifu Francisko anasema, utakatifu ni mwaliko kwa waamini wote na wala si upendeleo kwa watu wachache ndani ya Kanisa. Watakatifu ni wadhambi waliotubu na kumwongokea Mungu katika maisha yao, sasa ni marafiki wa Mungu na wandani wa imani na matumaini kwa jirani zao!

Kwaresima ni kipindi cha kujivika silaha za mwanga ili kutupilia mbali matendo ya giza ili kudumisha utakatifu wa maisha ya Kikristo!

Kwaresima ni kipindi cha kujivika silaha za mwanga ili kutupilia mbali matendo ya giza, kwa lengo la kudumisha utakatifu wa maisha ya Kikristo.

Vaeni silaha za mwanga ili kudumisha usafi wa moyo na utakatifu!

23/03/2018 11:21

Padre Raniero Cantalamessa anasema, Kipindi cha Kwaresima ni muda uliokubalika wa kufanya toba na wongofu wa ndani kwa kujivika silaha za mwanga ili kukuza na kudumisha utakatifu wa maisha ya Kikristo yanayofumbatwa katika usafi, uzuri na upendo wa kidugu kwa jirani!

Papa Francisko asema, wazazi wana dhamana ya kulinda, kudumisha maisha na malezi ya watoto wao kadiri ya mpango wa Mungu.

Papa Francisko asema, wazazi wana dhamana ya kulinda na kudumisha maisha sanjari na malezi ya watoto wao kadiri ya mpango wa Mungu.

Familia zifufuke na kutembea katika utu, ukristo na tunu za Kiinjili

31/12/2017 13:30

Papa Francisko anazikumbusha familia kwamba, Mwenyezi Mungu anapaswa kupewa kipaumbele cha kwanza katika malezi na makuzi ya watoto wao na kwamba, wao wana dhamana na wajibu wa kutunza maisha ambayo yanapata chimbuko lake kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Wawe tayari kuanza upya!

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani!

Wakristo wanahamasishwa kuchuchumilia utakatifu wa maisha kama kilele cha maisha yao hapa duniani.

Chuchumilieni utakatifu kama kielelezo cha maisha na utume wenu!

17/10/2017 10:10

Wakristo wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayobubujika kutoka katika fumbo la maisha na utume wa Kristo Yesu, aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu! Utakatifu wa maisha liwe ni lengo kuuu katika safari ya mwamini hapa duniani! Changamoto endelevu!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya upendo na huduma!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na huduma kwa maskini na wote wanaoteseka!

Papa Francisko anawataka waamini kuwa mashuhuda wa Injili ya upendo

11/09/2017 13:05

Papa Francisko anawataka waamini kujizatiti katika kulinda, kutetea na kudumisha utu wa binadamu; kwa kuwasaidia na kuwahudumia watu ambao wameteleza na kuanguka katika maisha; watu wanaotaka kujipatia makazi na maisha bora zaidi wanaotaka kuboresha utu wa binadamu kwa hali na mali!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza sauti yake, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata Njia ya Msalaba!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza kwa makini sauti ya Yesu, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata njia ya Msalaba kama kielelezo cha utukufu na ukuu wa Mungu katika hali ya unyenyekevu.

Waamini mnaitwa kuwa mashuhuda wa utukufu na ukuu wa Mungu!

04/08/2017 16:03

Sherehe ya kugeuka Sura kwa Bwana Yesu Kristo ni uthibitisho wa Mafumbo ya imani; ushuhuda uliotolewa kwa namna ya pekee na Sheria, inayowakilishwa na Musa pamoja na Manabii, wanaowakilishwa na Eliya juu ya Yesu. Sherehe hii inadokeza umuhimu wa ushuhuda wa utakatifu na ukamilifu wa maisha!

 

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni Siku maalum ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre!

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu ni siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre duniani.

Papa Francisko: Jifunzeni upole na unyenyekevu kutoka kwa Kristo Yesu

23/06/2017 16:26

Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, siku maalum iliyotengwa na Mama Kanisa kwa ajili ya kuombea wongofu na utakatifu wa Mapadre, ni mwaliko kwa Wakleri kujifunza kutoka kwa Kristo Yesu, ambaye ni mpole na mnyenyekevu wa moyo ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wake!