Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utakatifu wa maisha

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini kwa watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini, maisha ya sala, na maadhimisho ya mambo matakatifu.

Kardinali Stella, toeni harufu nzuri ya utakatifu wa maisha kila siku!

21/04/2017 13:16

Mama Kanisa anapenda kuwahamasisha waamini wote, lakini zaidi wakleri kuhakikisha kwamba, kila siku ya maisha yao inapaswa kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha unaojikita katika sala, tafakari ya kina ya Neno la Mungu, huduma na uwajibikaji makini pamoja na maadhimisho ya Sakramenti!

 

Waraka wa Furaha ya upendo ndani ya familia unafafanua Injili ya familia, matatizo, changamoto na fursa ili kuambata huruma ya Mungu.

Waraka wa furaha ya upendo ndani ya familia unafafanua kwa kina na mapana tasaufi ya Injili ya familia katika ukweli na uwazi: matatizo, changamoto na fursa zilizopo kwa waamini ili kukimbilia na kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao!

Jitaabisheni kutafuta wokovu wa roho zenu!

06/12/2016 07:02

Waraka wa Furaha ya upendo ndani ya familia, uliochapishwa na Baba Mtakatifu Francisko hivi karibuni unafafanua kwa kina na mapana Injili ya familia inayofumbata ukweli na uwazi, matatizo na changamoto za ulimwengu mamboleo, ili kukimbilia na kuambata huruma ya Mungu inayoganga na kuponya.

Kuna haja ya kujizatiti kukuza na kudumisha misingi ya haki na amani hata katika maeneo ya vita na kinzani za kijamii.

Kuna haja ya kujizatiti kukuza na kudumisha misingi ya haki na amani hata katika maeneo ya vita na kinzani za kijamii.

Dini zina mchango mkubwa katika kudumisha haki, amani na maridhiano

05/12/2016 07:10

Waamini wa dini mbali mbali duniani wanahamasishwa kusimama kidete kulinda na kudumisha utakatifu wa maisha ya binadamu; wanajikita katika huduma makini kwa wakimbizi na wahamiaji pamoja na kuachana na misimamo mikali ya kidini na kiimani inayosabaanisha majanga makubwa kwa watu!

Baba Mtakatifu Francisko anawaambia waamini kamwe wasithubutu kufanya majadiliano na Ibilisi, atawabwaga chini!

Baba Mtakatifu Francisko anawaambia waamini kutothubutu kufanya majadiliano na Shetani-Ibilisi kwani atawabwaga chini na huko watakiona cha mtema kuni!

Msithubutu kujadiliana na Ibilisi!

25/11/2016 12:14

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha kilichoko mjini Vatican, Ijumaa tarehe 25 Novemba 2016 amewataka waamini kushikamana na Kristo Yesu kwa kumfungulia malango ya mioyo na maisha yao, ili kurithi maisha ya uzima wa milele!

Adhabu ya kifo inapinga na hadhi binadamu na utakatifu wa Muumba!

Adhabu ya kifo inapingana na hadhi ya binadamu na utakatifu wa Muumba.

Adhabu ya kifo!

11/10/2016 13:36

Kwa sababu uhai wa binadamu ni mtakatifu, tangu mwanzo wake, unahusisha tendo la Mungu la kuumba na unabaki daima katika uhusiano wa pekee na Muumba, aliye lengo lake pekee. Hakuna anyeruhusiwa kuangamiza mtu kwa hili nitendo zito linalopingana na hadhi ya mtu na utakatifu wa Muumba!

 

Papa Francisko anawaalika waamini kumwomba B. Maria ili awaongoze katika utakatifu, haki na amani!

Papa Francisko anawaalika waamini kumwomba B. Maria ili awasindikize katika hija ya utakatifu, haki na amani.

Bikira Maria waongoze watoto wako katika utakatifu, haki na amani!

05/06/2016 13:26

Wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Baba Mtakatifu Francisko amewaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro kumwomba B. Maria ili awasindikize katika utakatifu, haki na amani.

Waamini chuchumilieni utakatifu wa maisha, kielelezo cha imani makini!

Waamini chuchumilieni utakatifu wa maisha kielelezo cha imani makini!

Chuchumilieni utakatifu wa maisha!

25/03/2016 10:16

Toba na wongofu wa ndani; Sala na tafakari ya Neno la Mungu inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili ni kielelezo cha imani tendaji, inayopania kumsaidia mwaamini kuchuchumilia utakatifu wa maisha ambalo ndilo lengo kuu ya mwaliko wa kutubu na kuongoka!

Familia ya Mungu nchini Ghana imehitimisha Mwaka wa Watawa Duniani kwa kukazia: imani, matumaini na utakatifu.

Familia ya Mungu nchini Ghana imehitimisha maadhimisho ya Mwaka wa Watawa Duniani kwa kukazia imani, matumaini na utakatifu wa maisha.

Familia ya Mungu Ghana yakunja jamvi la Mwaka wa Watawa Duniani!

26/01/2016 11:03

Familia ya Mungu nchini Ghana imekunja jamvi la maadhimisho ya Mwaka wa Watawa Duniani kwa kukazia kwa namna ya pekee umuhumu wa watawa kujikita katika imani, matumaini na utakatifu wa maisha unaofumbatwa katika sala, tafakari, Sakramenti na maisha ya kijumuiya.