Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utakatifu, Ukuu, Wema na Utukufu wa Mungu

Ufame wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; utakatifu na neema; haki, upendo na amani.

Ufalme wa Mungu unasimikwa katika: kweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo.

Jitahidini kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu

12/06/2018 13:30

Tafakari ya Neno la Mungi, Jumapili ya XI ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki katika mchakato wa ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaosimikwa katika ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, amani na upendo!

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni msingi wa imani, maisha na utume wa Kanisa.

Fumbo la Utatu Mtakatifu ni msingi wa imani, maisha na utume wa Kanisa.

Sherehe ya Utatu Mtakatifu: Umoja, Ukuu, Uweza na Utakatifu wa Mungu

26/05/2018 08:29

Tunasadiki kwa nguvu na tunakiri wzzi kwamba kuna Mungu Mmoja tu, wa kweli, wa milele, Mkuu, asiyebadilika, asiyetambulika, Mwenye uwezo wote, asiyeelezeka, Baba na Mwana na Roho Mtakatifu: Nafsi Tatu, lakini uwapo mmoja tu, uwamo mmoja tu au asili moja tu!

Furaha ya kweli inajengwa katika: upendo, urafiki na mahusiano mema na Kristo Yesu

Furaha ya kweli inajengwa katika upendo na mahusiano mema yanayoibua chemchemi ya maisha mapya!

Kristo Yesu ni rafiki wa kweli na chanzo cha maisha mapya!

02/05/2018 14:13

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya VI ya Kipindi cha Pasaka ni mwaliko kwa waamini kujenga na kudumisha urafiki wa kweli na Kristo Yesu, chanzo na chemchemi ya maisha mapya, yanayowasukuma waamini kumpenda Mungu pamoja na jirani zao kama Kristo Yesu alivyowapenda wao!

 

Kristo Yesu ni Mzabibu wa kweli na Baba yake ndiye Mkulima, wafuasi wake wanapaswa kuwa mashuhuda kwa njia ya umoja, upendo na mshikamano.

Kristo Yesu ni Mzabibu wa kweli na Baba yake ndiye Mkulima, kumbe, wafuasi wake wanapaswa kuwa ni mashuhuda wake katika umoja, upendo na mshikamano wa dhati!

Yesu ni Mzabibu wa kweli unaoshuhudiwa katika umoja na upendo!

28/04/2018 07:48

Kristo Yesu ni Mzabibu wa kweli kwa sababu ameungana na kushibana sana na Baba yake wa mbinguni ambaye ndiye Mkulima. Hivyo wafuasi wake wanapaswa kuwa ni mashuhuda wa umoja, upendo na mshikamano wa dhati unaomwilishwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Papa Francisko anawaambia viongozi wa kidini na kisiasa kamwe wasitumie dini kuhalalisha ghasia na maobu jamii.

Papa Francisko anawaambia viongozi wa kidini na kisiasa wasitumie kamwe jina la Mungu kuhalalisha vitendo viovu katika jamii.

Papa Francisko: Msitumie jina la Mungu kuhalalisha ghasia na maovu!

02/02/2018 14:28

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kila mwamini anapaswa kutambua kwamba, Mwenyezi Mungu ni Mtakatifu na kamwe hawezi kuwa ni chanzo cha ubaya, kinzani na mauaji ya watu wengine. Kila kiongozi wa kidini na kisiasa anapaswa kukemea na kulaani kufuru ya kutumia jina la Mungu kwa mambo binafsi.