Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Utakatifu

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha!

Wito wa kwanza ni utakatifu wa maisha unaomwilishwa katika ushuhuda wa maisha yenye mvuto na mashiko!

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili II: Mnaitwa na kutumwa kushuhudia

12/01/2018 08:50

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili II ya Kipindi cha Mwaka B wa Kanisa ni mwaliko kwa waamini kusikiliza vyema sauti ya Mungu katika maisha yao na hivyo kuwa tayari kuijibu kwa ari na moyo wa ukarimu, tayari kushuhudia matendo makuu ya Mungu katika maisha, kielelezo cha imani tendaji!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza sauti yake, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata Njia ya Msalaba!

Sherehe ya kung'ara kwa Bwana Yesu Kristo ni mwaliko wa kusikiliza kwa makini sauti ya Yesu, kutekeleza mapenzi ya Mungu na kufuata njia ya Msalaba kama kielelezo cha utukufu na ukuu wa Mungu katika hali ya unyenyekevu.

Waamini mnaitwa kuwa mashuhuda wa utukufu na ukuu wa Mungu!

04/08/2017 16:03

Sherehe ya kugeuka Sura kwa Bwana Yesu Kristo ni uthibitisho wa Mafumbo ya imani; ushuhuda uliotolewa kwa namna ya pekee na Sheria, inayowakilishwa na Musa pamoja na Manabii, wanaowakilishwa na Eliya juu ya Yesu. Sherehe hii inadokeza umuhimu wa ushuhuda wa utakatifu na ukamilifu wa maisha!

 

Papa Francisko anawaalika waamini kusali kwa ajili ya kuombea maskini, toba na wongofu wa ndani; ukuaji wa Kanisa katika utakatifu na umissionari.

Papa Francisko anawaalika waamini kuombea mahitaji msingi ya maskini, toba na wongofu wa ndani; Uenezaji wa Injili; ukuaji wa Kanisa katika utakatifu pamoja na ari ya kimissionari.

Papa Francisko: Ombeeni maskini, toba, utakatifu na umissionari

27/04/2017 16:31

Baba Mtakatifu Francisko anawataka waamini kuwa kweli ni wajumbe wa umoja na wajenzi wa amani kwa familia ya Mungu duniani! Waendelee kuombea mahitaji msingi ya maskini; toba na wongofu wa ndani; uenezaji wa Injili, kukua kwa Kanisa katika utakatifu na ari ya kimissionari duniani!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini kwa watu!

Mapadre onesheni na kushuhudia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini, maisha ya sala, na maadhimisho ya mambo matakatifu.

Kardinali Stella, toeni harufu nzuri ya utakatifu wa maisha kila siku!

21/04/2017 13:16

Mama Kanisa anapenda kuwahamasisha waamini wote, lakini zaidi wakleri kuhakikisha kwamba, kila siku ya maisha yao inapaswa kwa ushuhuda wa utakatifu wa maisha unaojikita katika sala, tafakari ya kina ya Neno la Mungu, huduma na uwajibikaji makini pamoja na maadhimisho ya Sakramenti!

 

Yesu Kristo ni Mfalme wa ulimwengu na ufalme wake ni wa milele unaofumbata: ukweli, uzima, utakatifu, neema, haki, mapendo na amani.

Yesu Kristo ni Mfalme wa ulimwengu na ufalme wake ni wa milele unaombata ukweli na uzima, utakatifu na neema; haki, amani na mapendo.

Mtazameni Mfalme wenu anavyoning'inia Msalabani!

18/11/2016 15:52

Leo Mama Kanisa anaadhimisha kilele cha Mwaka wa Kanisa Kiliturujia kwa Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme wa Ulimwengu. Huyu ni Mfalme ambaye sherehe yake ya kuapishwa inafanyika Msalabani, Kiti chake cha kifalme ni Msalaba; mashuhuda wake ni wale majambazi wawili! Sipati picha!

 

Ufalme wa Kristo ni wa milele, ukweli, uzima, utakatifu, neema, haki, upendo na amani.

Ufalme wa Kristo ni wa milele, ukweli, uzima, utakatifu, neema, haki, upendo na amani.

Ni Ufalme wa ukweli na uzima; Utakatifu na neema; Haki, mapendo na amani

18/11/2016 10:41

Ufalme wa Kristo ni wa milele na wa ulimwengu wote; ni ufalme wa kweli na uzima, ufalme wa utakatifu na wa neema, ufalme wa haki, mapendo na amani. Watu wote wanahamasishwa kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa ufalme huu kwa njia ya ushuhuda ili kweli dunia iwe ni mahali pazuri pa kuishi!