Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ushuhuda wa Kinabii

Papa anasema kuwa ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine bila kutaka sifa yoyote

Papa anasema kuwa ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine bila kutaka sifa yoyote

Papa anasema,ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine!

12/06/2018 15:52

Chumvi inasaidia kutoa radha ya chakula na mwanga hauwezi kujiangaza pekee yake,kwa namna hiyo ushuhuda rahisi wa mkristo wa kila siku unawasaidia wengine na si kwa sifa binafsi,bali kwa ajili ya utukufu wa Mungu baba. Ni tafakari ya Baba Mtakatifu Francisko siku ya Jumanne,12 Juni 2018 

 

Mkutano wa Baraza la Makanisa Ulaya wametoa ahadi ya kujitahidi kuwa wajenzi wa madaraja kwa uwezo wa mabadiliko ya imani na kwa uwajibu wa upyaisho

Mkutano wa Baraza la Makanisa Ulaya wametoa ahadi ya kujitahidi kuwa wajenzi wa madaraja kwa uwezo wa mabadiliko ya imani na kwa uwajibu wa upyaisho katika mambo matatu:ushuhuda, haki na kukaribisha

Ujumbe wa mwisho Baraza la Makanisa Ulaya kutaka kuwa wajenzi wa madaraja!

07/06/2018 13:43

Tutajitahidi kuwa wajenzi wa madaraja kwa uwezo wa mabadiliko ya imani na kwa uwajibu wa upyaisho katika mambo matatu:ushuhuda,haki na kukaribisha. Ni ahadi ya Baraza la Makanisa ya Kikristo (CEC)Ulaya,waliyopendekeza kuifanya katika hitimisho la Mkutano wao uliofanyika huko Novi Sad,Serbia

 

 

Katika misa ya asubuhi 17 Aprili, Papa Fracisko anatazama sura ya mfiadini Mtakatifu Stefano

Katika misa ya asubuhi 17 Aprili, Papa Fracisko anatazama sura ya mfiadini Mtakatifu Stefano

Nabii daima anasema ukweli na kulia kwa ajili ya watu wake wanapokosea

17/04/2018 16:30

Nabii wa kweli ana uwezo wa kulilia watu wake wasio msikiliza.Nabii wa kweli daima anasema ukweli bila kuogopa pia ni mtu wa matumaini,mfano wa Mt. Stefano.Huu ni uthibitisho wa maneno ya Papa Francisko wakati wa mahubiri yake katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican tarehe 17 Aprili 2018

 

Tarehe 7 Aprili 2018 Papa amekutana na Jumuiya ya Emanuele kutoka Ufaransa

Tarehe 7 Aprili 2018 Papa amekutana na Jumuiya ya Emanuele kutoka Ufaransa

Papa:Jumuiya ya Emanueli iwe na msingi wa kutafakari fumbo la Kristo !

07/04/2018 16:20

Papa Francisko amekutana na Jumuiya wa Emanueli kutoka nchini Ufaransa katika ukumbi wa Clementina Mjini Vatican,Jumamosi 7 Aprili 2018.Papa anasema,hija hii ni ishara kamili ya kushiriki katika Jumuiya ya Emanueli na umoja wa Kanisa zima Katoliki.Anawasifu wa ushuhuda na uaminifu wao.

 

Wazee na wagonjwa ni makaa ya moto ya ushuhuda,imani na matumaini!

Wazee na wagonjwa ni makaa ya moto ya ushuhuda,imani na matumaini!

Wazee na wagonjwa ni makaa ya moto ya ushuhuda,imani na matumaini!

27/02/2018 09:01

Jumapili 25 Februari 2018 Baba Mtakatifu Francisko alifanya ziara yake fupi katika Parokia ya Mtakatifu Gelasio I nje kidogo ya mji wa Roma.Wakati wa kuzungumza na wagonjwa na wazee amesema,wao ni makaa ya moto ya ulimwengu,ya furaha, ushuhuda, imani, makaa ya matumaini  endelevu

 

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa mwaka 2017 imepamba kwa Papa Francisko kutimiza miaka 81 ya kuzaliwa!

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa Mwaka 2017 imepambwa kwa Papa Francisko kuadhimisha Kumbu kumbu ya miaka 81 tangu alipozaliwa!

Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio: Furaha, Sala na Shukrani!

18/12/2017 14:51

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya III ya Kipindi cha Majilio kwa Mwaka B wa Kanisa inatoa changamoto ya kufurahi daima katika Bwana, licha ya magumu na changamoto za maisha; kuwa watu wanaodumu katika sala na daima wakionesha moyo wa shukrani kwa kila jambo! Noeli inakaribia!

 

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kukazia utu na heshima ya binadamu.

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa kukazia utu na heshima yua binadamu.

Maaskofu Katoliki Ulaya: Dumisheni utu wa binadamu na jengeni umoja!

11/10/2017 07:18

Kanisa Barani Ulaya litaendelea kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kutoa kipaumbele cha kwanza katika mchakato unaopania kukuza na kudumisha utu, heshima, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi. Ni mwaliko wa kusimamia haki msingi za binadamu!

Papa Francisko kwa CELAM anakazia: ushuhuda, vijana na waamini walei katika maisha na utume wa Kanisa

Papa Francisko kwa CELAM anakazia ushuhuda, vijana na waamini walei kushiriki katika maisha na utume wa Kanisa.

Papa Francisko: Tangazeni ni kushuhudia furaha ya Injili katika utume

08/09/2017 12:10

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Amerika ya Kusini linahamasishwa na Baba Mtakatifu Francisko kujikita katika mchakato ushuhuda na utangazaji wa furaha ya Injili kwa watu wa Mataifa; kwa kulinda na kumwilisha amani zilizojitokeza katika mikutano ya Maaskofu wa Amerika ya Kusini.