Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ushuhuda wa Injili

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Mkristo!

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo na maisha ya Mkristo!

21/07/2018 08:01

Tasaufi ya Damu Azizi ya Kristo Yesu ni dira na mwongozo wa maisha ya Kikristo yanayojikita katika uhusiano na mafungamano kati ya Mwenyezi Mungu na jirani. Tasaufi hii inajengwa katika misingi ya Neno la Mungu, Mapokeo ya Kanisa, Ushuhuda na Mafundisho ya Watakatifu, Liturujia na Sakramenti.

Papa Francisko asema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu na sura yake ambayo ni ushuhuda wa unyenyekevu.

Papa Francisko asema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu na unafumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika hali ya unyenyekevu.

Papa Francisko: Mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini na sura yake

16/07/2018 09:43

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Jumapili ya XV ya Kipindi cha Mwaka wa Kanisa amesema, mtindo wa maisha ya kimisionari una kiini chake ambacho ni Kristo Yesu aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu na sura yake ni unyenyekevu unaofumbatwa katika ushuhuda!

Waamini wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayofumbatwa katika toba, wongofu na utakatifu wa maisha.

Waamini wanaitwa na kutumwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu inayosimikwa katika ushuhuda wa maisha, toba, wongofu wa ndani na utakatifu wa maisha!

Mnatumwa kuwa mashuhuda wa furaha ya Injili ya Kristo kwa Mataifa!

14/07/2018 06:58

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanasema, ushuhuda wa Kikristo unafumbatwa katika uhalisia wa maisha na majadiliano katika nyanja mbali mbali za maisha ya mwanadamu. Ni ushuhuda wa upendo unaojikita katika toba na wongofu wa ndani kama chachu ya kuyatakatifuza malimwengu!

 

Ufukara wa Kiinjili uwawezeshe Wakristo kutangaza na kushuhudia Injili kwa watu wa Mataifa.

Ufukara wa kiinjili uwawezeshe wakristo kutangaza na kushuhudia Injili ya Kristo kwa watu wa Mataifa!

Ufukara wa Kiinjili uwawajibishe kutangaza na kushuhudia Injili!

13/07/2018 07:11

Yesu Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu ndicho kiini cha Habari Njema ya Wokovu inayopaswa kutangazwa na kushuhudiwa katika uhalisia wa maisha ya Wakristo! Kumbe, ufukara wa Kiinjili ni nyenzo msingi katika mchakato wa kumwilisha Injili ya upendo kwa maskini na wahitaji zaidi!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Habari Njema ya Wokovu inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa!

12/07/2018 16:40

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini ni muda muafaka wa kutafakari kuhusu changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa, tayari kuwatangazia watu wa Mataifa furaha ya Injili inayomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji, kiini cha uinjilishaji mpya!

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani ulioandikwa kunako mwaka 1967.

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani, tarehe 30 Juni 1967.

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani

03/07/2018 08:44

Mwenyeheri Paulo VI kwa kusoma alama za nyakati kutokana na changamoto zilizojitokeza katika maisha na utume wa Mapadre baada ya Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican, aliamua kuwaandikia Mapadre Waraka maalum akionesha tasaufi ya Daraja Takatifu, dhamana na changamoto zake ulimwenguni!

Upendo wa Kristo unawabidisha: Kujipyaisha, kutangaza na kushuhudia Injilli kwa kujenga mshikamano wa kidugu!

Upendo wa Kristo unawabidisha kutangaza Injili, Kupyaisha maisha yao na kushuhudia Imani yao inayomwilishwa katika umoja na udugu, ushuhuda makini katika uinjilishaji.

Papa Francisko: Upendo wa Kristo unawabidisha: Kujipyaisha & kutangaza

22/06/2018 16:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, upendo wa Kristo Yesu unawabidisha Watawa wa Shirika la Wamisionari wa Neno la Takatifu: Kupyaisha maisha binafasi na yale ya kijumuiya ili kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu; kujenga udugu, ili kwa pamoja kumwilisha imani katika matendo yenye mvuto!

Papa anasema kuwa ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine bila kutaka sifa yoyote

Papa anasema kuwa ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine bila kutaka sifa yoyote

Papa anasema,ushuhuda wa mkristo ni kuwa chumvi na mwanga kwa wengine!

12/06/2018 15:52

Chumvi inasaidia kutoa radha ya chakula na mwanga hauwezi kujiangaza pekee yake,kwa namna hiyo ushuhuda rahisi wa mkristo wa kila siku unawasaidia wengine na si kwa sifa binafsi,bali kwa ajili ya utukufu wa Mungu baba. Ni tafakari ya Baba Mtakatifu Francisko siku ya Jumanne,12 Juni 2018