Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ushuhuda

Papa Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujisadaka bila ya kujibakiza ili kulinda, kutetea na kudumisha utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujisadaka bila ya kujibakiza ili kulinda, kutetea na kudumisha utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko: Injili ya Kristo iwe ni chachu ya kulinda utu wa watu

20/06/2017 17:05

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika viongozi wa Kanisa kujitoa bila ya kujibakiza kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake; kwa njia ya huduma makini kwa waamini katika mahitaji yao msingi ili hatimaye, kusimama kidete: kulinda na kutetea utu, heshima na haki msingi za binadamu na hasa maskini zaidi!

 

Wakristo hawana budi kumwachia nafasi Roho Mtakatifu ili aweze kuwafunda, kuwatakasa, kuwaongoza na kuwakumbusha mambo msingi katika utume wa Kanisa.

Wakristo hawana budi kumwachia Roho Mtakatifu nafasi ya kuwakumbusha, kuwaongoza, kuwafunda na kuwafundisha mammbo msingi katika maisha na utume wa Kanisa.

Majadiliano ya kiekumene yanapaswa kujikita katika ushuhuda wa pamoja!

05/06/2017 07:53

Roho Mtakatifu ni mhusika mkuu katika kuwafunda na kuwaunda Wakristo, changamoto na mwaliko kwa Wakristo kumwachia nafasi Roho Mtakatifu ili aweze kuwafundisha, kuwakumbusha, kuwatakasa na kuwaongoza katika mambo msingi ya maisha na utume wa Kanisa, kielelezo cha ushuhuda makini.

Ujumbe wa B. Maria wa Fatima daima ni: toba, wongofu wa ndani na amani duniani!

Ujumbe wa Bikira Maria wa Fatima daima ni: toba, wongofu wa ndani na amani duniani!

B. Maria wa Fatima: bado kuna haja ya toba, wongofu na amani duniani!

11/05/2017 07:40

Mama Kanisa anaadhimisha Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea Watoto wa Fatima, yaani Francis, Yacinta Marto na Lucia dos Santos kunako mwaka 1917 kwa kukazia toba ya kweli; wongofu wa ndani ili kuambata utakatifu wa maisha na kuendelea kuombea amani, upendo na mshikamano!

Uekumene wa damu uwafungamanishe Wakristo kushuhudia imani yao, kutetea haki, amani na maridhiano kati ya watu!

Uekumene wa damu uwafungamanishe wakristo kusimama kidete kushuhudia imani yao, kutetea haki msingi za binadanu na kudumisha amani duniani.

Uekumene wa damu udumishe umoja na mshikamano wa Wakristo duniani!

29/04/2017 15:33

Wakristo wanaunganishwa kwa namna ya pekee katika imani moja inayobubujika kutoka katika Sakramenti ya Ubatizo! Uekumene wa damu uwajenge na kuwaimarisha Wakristo katika kumshuhudia Kristo na Kanisa lake sanjari na kusimama kidete kulinda haki msingi za binadamu na amani duniani!

Papa Francisko anawaalika wakristo kuwa ni mashuhuda wa utii kwa Mwenyezi Mungu!

Papa Francisko anawaalika wakristo kuwa ni mashuhuda wa utii kwa Mwenyezi Mungu!

Iweni mashuhuda wa utii kwa Mungu!

27/04/2017 16:50

Mitume wa Yesu baada ya ufufuko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu sanjari na kushukiwa na Roho Mtakatifu, walipata ujasiri wa kutoka kifua mbele kutangaza na kushuhudia kwamba, Kristo Yesu aliyeteswa, akafa, amefufuka kwa wafu na kwamba, wataendelea kuwa mashahidi wa utii kwa Mungu!

 

Jimbo Kuu la Gniezno nchini Poland linafanya kumbukumbu ya miaka 600 tangu kupewa ukuu wa Kanisa hilo.

Jimbo Kuu la Gniezno nchini Poland linafanya kumbukumbu ya miaka 600 tangu kupewa ukuu wa Kanisa hilo.

Waamini Katoliki kuadhimisha miaka 600 ya Ukuu wa Kanisa Poland

24/04/2017 08:39

Papa amesema,Gnezno na Kanisa zima la Poland linapo adhimisha miaka 600 ya ukuu wa Polandi ni lazima kuangalia maisha endelevu na kuomba Mungu ili kuweza kuwa mashahidi wa kweli wa Mtakatifu Adalbert;kuwa chanzo hai cha uongozi wa uinjilishaji kwa vizazi endelevu vya kumfuasa Kristo.

 

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Tuko karibu na nyinyi katika sala zetu ndugu zetu wengi katika Kristo ambao wamekufa kwa ajili ya kutetea imani yao na wale wanaoendelea kuhuhudia

Luxemburg: Ujumbe wa Pasaka 2017 kutoka Makanisa ya Kikristo

15/04/2017 15:22

Wakristo wote wakae  karibu na wote wanaohitaji msaada bila kutazama utaifa, dini,kwa kusaidia  maskini,wagonjwa,wazee, mama na watoto,wafungwa , wahamiaji na wote ambao jamii imewatanga.Kusulibiwa ni hali halisi kwa sasa maana maisha ya binadamu kwa sasa ni kinyume na kazi ya uumbaji 

 

Tazameni mtu! Ecce homo!

Tazameni mtu! Ecce homo!

Tazameni mtu! Ecce homo!

14/04/2017 17:19

Maadhimisho ya Juma kuu yanawaingiza Wakristo katika kuadhimisha Mafumbo makuu ya imani inayofumbatwa katika Fumbo la Pasaka yaani: Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu. Waamini wanahamasishwa kumwangalia Yesu Msalabani, tayari kumkimbilia kwa toba na wongofu wa ndani!