Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ushirikiano Kimataifa, Maendeleo na Usalama, OSCE

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu katika ujenzi wa amani duniani!

Diplomasia ya mshikamano, udugu na upendo ni muhimu sana katika ujenzi wa amani duniani.

Diplomasia ya mshikamano ni kikolezo cha maendeleo endelevu!

07/02/2018 07:45

Hazina na amana ya utamaduni wa udugu, upendo na mshikamano katika ukweli na uwazi ni chachu muhimu sana katika mchakato mzima wa maendeleo endelevu ya binadamu, ambapo: haki msingi za binadamu, mahitaji yake muhimu, utu na heshima yake vinapewa kipaumbele cha kwanza!

Papa Francisko anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuwa na kumbu kumbu hai na endelevu ili kupambana na udhalimu, nyanyaso na ubaguzi duniani.

Papa Francisko anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuwa na kumbu kumbu endelevu ili kupambana na udhalimu, nyanyaso na ubaguzi sehemu mbali mbali za dunia kwa kukazia mawasiliano na majiundo makini kwa vijana wa kizazi kipya!

Papa Francisko: Epukeni kirusi cha kutowajali wengine ni hatari sana!

30/01/2018 06:39

Baba Mtakatifu Francisko anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kuwa na kumbu kumbu hai ya maisha na historia yake, ili kupambana vyema na udhalimu na ubaguzi mambo yanayohatarisha mafungamano na ushirikiano wa familia ya Mungu sehemu mbali mbali za dunia: Watu wajenge na kudumisha umoja.