Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Ushirikiano

Patriaki Bartolomeo wa kwanza: Changamoto za kiekolojia zinahitaji umoja na mshikamano wa Jumuiya ya Kimataifa.

Patriaki Bartolomeo wa kwanza: Changamoto za kiekolojia zinahitaji umoja na mshikamano wa Jumuiya ya Kimataifa ili kuzipatia ufumbuzi.

Patriaki Bartholomeo: Athari za kiekolojia zinahitaji majibu ya pamoja

07/06/2018 11:13

Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox  la Costantinopol anasema, athari za kiekolojia zinatishia umoja na mafungamano ya kiuchumi na kijamii na kwamba, waathirika wakuu ni maskini na wale wote wanasukumizwa pembezoni mwa jamii. Changamoto hii inahitaji mshikamano wa dhati!

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Semina ya Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Kanda ya maziwa makubwa

06/06/2018 14:41

Hivi karibuni mjini Kinshasa imemalizika semina ya siku mbili ambayo ilikuwa na matunda ya kutafakari na kubadilishana utendeji wa shughuli zao za kitume, iliyoandaliwa na Shirikisho la Mabaraza ya Maakofu wa Kanda ya Afrika ya kati (Aceac) kwa kufunguliwa na  Askofu Mkuu,Marcel Utembe Tapa

 

Papa Francisko, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wasio wakazi.

Papa Francisko, Alhamisi tarehe 17 Mei 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Tanzania, Lesotho, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland.

Papa Francisko apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wapya

17/05/2018 17:00

Mabalozi wapya wasio wakazi kutoka Tanzania, Lesotho, Pakistan, Mongolia, Denmark, Ethiopia na Finland, Alhamisi, tarehe 17 Mei 2018 wamewasilisha hati zao za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican ambaye amekazia umoja na mshikamano ili kukabiliana na changamoto mamboleo.

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Ujumbe wa Kard. Tauran kwa wawakilishi wa mkutano wa dini za kidharma!

16/05/2018 16:16

Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini kwa ushirikiano na ofisi ya kitaifa ya Uekumene na mazungumzo ya kidini ya Maaskofu wa Italia,wameandaa Mkutano wanye mada kuu ya DHARMA na LOGOs.Mazungumzo na ushirikiano katika nyakati ngumu.Kard Tauran ametoa hotuba yake 15 Mei 2018

 

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand

16/05/2018 15:40

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano 16 Mei 2018, amekutana na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand, mjini Vatican ambapo wakati wa hotuba yake ameshukuru zawadi ya kitabu chao Kitakatifu katika Lugha ya kisasa ya wamonaki wa Ekalu la Wat Pho. Amesifu ishala njema ya urafiki na ukarimu!

 

 

Diplomasia ya Vatican kwa Jumuiya ya binadamu inajikita katika utu, heshima, uhai na haki msingi za binadamu kama sehemu ya mchakato wa huduma yake.

Diplomasia ya Vatican inajikita katika huduma ya maendeleo endelevu; utu, heshima, haki msingi za binadamu, amani na utulivu!

Mchango wa diplomasia ya Vatican kwa familia ya binadamu ulimwenguni

25/09/2017 10:31

Kardinali Pietro Parolin anasema, huduma ya kidiplomasia inayotolewa na Vatican kwa familia ya binadamu ulimwenguni kimsingi inajikita katika: amani na utulivu; ustawi, maendeleo na mafao ya wengi katika mchakato wa kukuza na kudumisha: utu, heshima pamoja na haki msingi za binadamu.