Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Upendo na Ukarimu

Papa Francisko, amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia elimu na malezi bora!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia umuhimu wa malezi na elimu kwa makuzi na malezxi ya waoto.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakutana na Papa! Yaani...!

11/06/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaotoka katika mazingira magumu na hatarishi. Amekazia umuhimu wa familia na shule kama vitovu muhimu kwa malezi na makuzi ya watoto. Amewataka watoto kujikita zaidi katika elimu, ili kutumia vyema akili, nyoyo na mikono hayo!

Machafuko ya kisiasa nchini Italia, yalichochewa zaidi na matumizi haramu ya mitandao ya kijamii!

Machafuko ya kisiasa nchini Italia yalichochewa zaidi na matumizi haramu ya mitandao ya kijamii.

Kardinali Bassetti asema, machafuko ya kisiasa Italia yalikuwa hatari

08/06/2018 15:03

Kardinali Gualtiero Bassetti, Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI anasema, patashika nguo kuchanika ya machafuko ya kisiasa nchini Italia yamepita, sasa viongozi wanapaswa kujipanga kwa kujikita zaidi katika huduma; ustawi, maendeleo na mafao ya watu wengi nchini Italia.

Tarehe 2 Juni 2018 Papa Francisko amekutana na wanachama cha kupambana na ugonjwa wa misuli nchini Italia

Tarehe 2 Juni 2018 Papa Francisko amekutana na wanachama cha kupambana na ugonjwa wa misuli nchini Italia

Papa akutana na Wanachama wa Kupambana na Ugonjwa wa Misuli Italia

04/06/2018 14:11

Tarehe 2 Mei 2018, Baba Mtakatifu Francisko amekutana na wajumbe wa Chama cha Umoja wa Italia cha  kupambana na ugonjwa wa misuli ambapo amewakaribisha kwa furaha na kumshukuru Mwenyekiti wa Muungano wa chama hicho kwa hotuba yake kwa niaba yao na kazi yao makini!

 

Papa amekutana na Kikosi cha Kipapa cha  Ulinzi na Usalama cha Uswiss mjini Vatican na wageni wao kufuatia na fursa ya kupata kiapo

Papa amekutana na Kikosi cha Kipapa cha Ulinzi na Usalama cha Uswiss mjini Vatican na wageni wao kufuatia na fursa ya kupata kiapo

Papa Francisko amekutana na Kikosi cha Ulinzi cha Uswiss na familia zao!

04/05/2018 16:54

Tarehe 4 Mei 2018 Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kikosi cha Kipapa cha  Ulinzi na Usalama cha Uswiss mjini Vatican na wageni wao kufuatia na fursa ya kupata kiapo chao kama walinzi wa kharifa wa mtume Petro. Anawapongeza kwa ushuhuda wao na jitihada wanazo onesha kama vijana!

 

 

 

Papa Francisko amekutana na washiriki wa kongamano la Ushemasi wa uzuri mjini Vatican tarehe 24 Feburari 2018

Papa Francisko amekutana na washiriki wa kongamano la huduma ya uzuri mjini Vatican tarehe 24 Feburari 2018

Huduma ya uzuri iwe ni chemchemi ya ushuhuda wa imani na mapendo

24/02/2018 13:02

Ushemasi wa uzuri ni huduma ya Kikanisa iliyoanzishwa wakati wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya uinjilishaji mpya kunako mwaka 2012. Huduma hii inafumbatwa katika: Sala, Ushuhuda, Malezi, Mshikamano na mapumziko ya pamoja! Hiki ni chombo cha ushuhuda wa imani na mapendo.

 

Hija ya maisha ya kiroho ni nafasi ya toba na wongofu wa ndani; sadaka na majitoleo ili kuambata huruma na upendo wa Mungu.

Hija ya maisha ya kiroho na nafasi ya toba na wongofu wa ndani ili kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha!

Maaskofu: Upendo na ukarimu kwa mahujaji wanaoelekea katika hija!

18/10/2017 08:16

Baba Mtakatifu Francisko anakumbusha kwamba maisha ni hija na binadamu ni hujajaji anayesafiri kuelekea katika maisha ya uzima wa milele! Hija inahitaji sadaka na majitoleo; ni kiini cha toba na wongofu wa ndani na nafasi muhimu sana ya kushikamana na huruma pamoja na upendo wa Mungu!